Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Magu alikuwa anapambana na nani? Ama ukisikia neno kupambana unalibeba na kulazimisha lifit kwenye upotoshaji wako.?
 
Magu alikuwa anapambana na nani? Ama ukisikia neno kupambana unalibeba na kulazimisha lifit kwenye upotoshaji wako.?
Kwani Lema alikuwa anapambana na nani?
 
Lema ni mwoga tu!

Nilikuwa nacheka sana wakati wa kampeni eti anaposti haogopi chochote baada ya matokeo akala kona
 
Sasa kama Lema alikuwa siyo mwoga mbona hakujitokeza kupambana nae badala yake akaufyata?

Tena baada ya uchaguzi ndio akakimbia kabisa!

Lema ni mwoga
 
Dhalimu amekimbia vipi wakati yeye ndio alikuwa anatumia vyombo vya dola kuendesha udhalimu?
Vyombo vya dola ni kitu gani?

Mbona Museven amempiga bob wine hadi na mabomu ila hajakimbia
 
Lema ni mlevi wa kupindukia anayejificha kwenye ulokole
 
Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Alienda kwa waome zao wakamlinde. Yule ndo bi mdogo wa amaterdam . Bi mkubw n yule shoga........πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maliziaaa
 
Sasa kanda ya kaskazini yanini? Ndio haya mambo yanawaharibiaga.
 
Wachaga bhana angalia sasa hawezi kusema kitu bila kuleta ukanda hv kura za Arusha,Kilimanjaro,Manyara zinaweza kuamua Rais nani ktk uchaguzi???
Umenena mkuu. Chama cha chagaz na maendeleo ya kasikazin(CHADEMA) πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…