ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Ngoja tuone !Putin hamna kitu USA sio wajinga utakuja niambia hap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone !Putin hamna kitu USA sio wajinga utakuja niambia hap
Inaonekana hivyo !Kwa hiyo USA anataka world war III?
Sio USA 🇺🇸 bali ni Administration ya akina Biden ndio yenye kiherehere !Kwa hiyo USA anataka world war III?
Urusi anapigana zaidi ya nchi 52 Kwa pamoja akiwa amewekewa vikwazo na bado amekaria karibia nusu ya Ukraine.Huyu Russia anaepigana na ka Ukraine 2 yrs mpaka anasaidiwa wanajeshi na kichaa mwenzie north Korea ndo amtishe USA embu kua serious kidogo
Kama vile Israel inavyopigana na Wanamgambo mwaka mzima ??! 😅😂🙄Huyu Russia anaepigana na ka Ukraine 2 yrs mpaka anasaidiwa wanajeshi na kichaa mwenzie north Korea ndo amtishe USA embu kua serious kidogo
Baambie Baambie basikile !Urusi anapiga na zaidi ya nchi 52 Kwa pamoja akiwa amewekewa vikwazo na bado amekaria karibia nusu ya Ukraine.
Umewakilisha mawazo yako umeandika riwaya nzuri utapokuwa unarudia kuisoma iwe ina kufurahisha ila hujafanya tathimini ya vita na kama utashupaza shingo na kutoa macho kwa kusema umefanya basi itakuwa kishabiki sana ila wacha kupiga mayowe ulaya hawalali kwa kuogopa putin israel halali kwa kuihofia iran,israel ni dhaifu mwaka sasa wameshindwa kuimaliza palestina kujiingiza lebanon ni sawa wamepiga tiktaka na msuli bila kuvaa boxer korodani zote nje subiri ushuhudie uchizi wa putin na Ayatollah khamein utajua kama hujui!Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi.
Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo basi lisubiri mlione.
Kwa muda mrefu sana hii vita ya Ukraine na USA imekuwa ikipigwa lakini nyuma ya pazia Kuna matumizi Makubwa ya intelligence kuliko silaha tunaziona upon msemo unasema adui akisha juwa siri zako basi unakuwa umekwisha. Nataka kuwakumbusha maumivu Israel ameyapata na vifo nyuma ya maovu hayo ni Iran na nyuma ya Iran basi ni Russia.
Kwa bahati mbaya sana wakati Urusi akimpa green light Iran akinukishe hakujuwa Israeli walikuwa a head of them sema ilikuwa wanasubiri waguswe.
Israel pale mashariki ya kati amekinukisha mpaka Putin Kremlin akasema Hana watu wa vita. Israel amepigana na lebano, hamas, Syria na Iran. Israel amekinukisha na amewatia hasara adui zake na mpaka sasa mrusi anamlaumu Iran na Iran anamlaumu Urusi.
Ushindi huu mkubwa wa Israel dhidi ya maadui zake imekuwa ni green light ya USA kumaliza mission yao Iran. Masaa machache kabla ya USA kuiruhusu Ukraine rusha makombora yake Urusi jeshi la Urusi limeishambulia Ukraine kwa kiwango kikubwa sana jambo hili limefanya Wana intelligence Kwa data wa nazo kumwambia Ukraine atumie mzigo anao kumaliza kazi. Yes na ukitaka kuamin Rais mteule Trump hajasema neno ila mtoto kasema neno je nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Niukweli usio pingika wakati Urusi anaishambulia Ukraine ulaya wamekuwa kwenye maamdalizi ya kivita yaani wamekuwa kwenye mazoezi mazito ya kivita Kwa ajili ya shambulizi lolote toka Urusi.
Pili siku hizi chache Urusi ameamua kukunjuwa makucha kwanza kuvunja mkataba wakuuza Uranium cake Kwa USA na pili kusimamisha gas Kwa Austrea jambo hili sio dogo ila nilazima lifanyiwe kaz na Urusi waonje athari za vita. Kwa zaid ya siku 1000 Urusi wamekuwa wakiibomoa Ukraine usiku na mchana na Dunia imekuwa ikimkataza Ukraine kupiga Urusi ila sasa wapo tayari Kwa vita na Kwa ufupi wanataka wamuone Putin akitumia Nuclear ili wao wamalizie vita. How?
Ni ukweli usio pingika Urusi ana mzigo wakutosha wa maboom ya nuclea ila pia niukweli usio pingika technology yake Kwa taarifa za siri Haina madhara kama technology ya Magharibi.
Kutumia hayo maboom hasara itakuwa kubwa Kwa Urusi kuliko Magharibi Kwa sababu mpaka sasa Urusi anapumulia machine na akianzisha vita atamalizwa mara Moja na pia Urusi wataigawa Tena yaani hawatoishia hapo Urusi wataigawa tena maana watusi wamesha choka hii vita na hawaoni thamani ya vita hii.
Putin kama Rais ana mamlaka yote ila amefika point wanasema kile kilimkuta Rais mwenzake alie anzisha vita kipindi Fulani wali mpoison wao wenyewe Mzee alie changanyikiwa anataka kuingamiza familia nzima watu Wote wakose Kwa jambo wangetafuta suluhu Kwa Amani.
Wamempa Kremia ila bado hajatosheka anataka nini? Huyu anataka kufa na dam nyingi Kwa maana ya Uzalendo hapana watamtuliza.
Ktk Moja ya speech za Biden aliwahi kusema kama tukitaka kumuondoa Kwa kiti Putin tuna weza ila hatutaki kufika uko na mwisho akasema Putin don't don't use nuclea weapon because it could be a death sentence to Rusian people
Maneno haya yanatimia na kisa cha Trump kuwa Rais nikumaliza kazi cia wanaitaka maana ndio mtu sahihi base on history. Trump anau German ndani yake hawezi ruhusu Putin awazingue Ndugu zake Wa ulaya na Putin. Anajuwa kabisa Trump nikichaa atafanya maamuzi magumu base on advice atapewa na Pentagon.
Mwisho Kwa wale hamjuwi Putin anaenda kushimdwa hii vita vibaya na hivyo vitisho hawezi rusha hata boom Moja kwenye ardhi ya USA au europ. Security advise wa Putin hawato mruhusu
Unapiga story badala ya kufanya analysis. Na huenda mengi yamekuoita bila taarifa.Jamani kama hujui hii vita ni Bora kukaa kimya. Hii sio simba na Yanga.
Eti "silaha za Urusi hazina madhara kama za west" kuwa serious.
Google TU silaha hatari za Urusi lakini pia unasahau ndio mwenye maboom yenye Kasi kuliko nchi yeyote.
Hayo maboom Yako umempatia Ukraine Jana kapiga 6 matano yamelipuliwa midair na Moja liliharibiwa na kudondoka pasipo madhara. Hivyo kukuonesha TU ni ngumu Ukraine kufikia malengo lakini retaliation yake inaweza kuwa na madhara zaidi.
Pia Zelensky anaweza kuuwawa ili TU kumaliza vita.
Point yangu ni kwamba West wanataka kufa na tai shingoni maana uchumi wote wa ulaya upo kwenye hali mbaya sana. Nashangaa mleta mada anaisema Urusi wakati Uingereza, ufaransa na Ujerumani hali ni mbaya sana.
Kubwa tuombe lisitokee tunalotaka litokee.
Vita ya tatu haizuilikiRepublicans wanataka vita Kuu ya 3 ili waendelee kutawala.
Hata hivo, Mungu atalizuia Hili.
Unapiga story badala ya kufanya analysis. Na huenda mengi yamekuoita bila taarifa.
Mpango wa Urusi, ilipoanzisha mashambulizi dhidi ya Ukraine, ilikuwa Serikali ya Ukraine iwe imeangushwa ndani ya siku 2, na wapinzani wa Serikali ya Ukraine wanaosaidiwa na Urusi ndiyo waongoze Serikali; na ilikuwa Rais wa Ukraine pamoja na maafisa wa juu kadhaa wa Serikali yake wauawe. Ili kutekeleza mission hiyo, Urusi ilipeleka askari wake maalum, wenye ujuzi wa hali ya juu kabisa, lakini wengi wao waliishia kuuawa, na waliosalia wakakimbilia mashariki mwa Ukraine waliko wapinzani wa Serikali. Kwa ujumla operation ya Putin ilishindwa vibaya, badala ya kumwua Zeleniskyy, walikufa maafisa wengi wenye ujuzi mkubwa wa kivita wa Urusi. Wakaamua kukimbia.
Kwa ujumla kwenye vita hivi Urusi imeshindwa vibaya, ndiyo maana imebakia kitishia kuwa itatumia silaha za nyuklia. Fikiria ulipanga umalize jambo ndani ya siku 2 halafu unaenda kwa karibia miaka mitatu, hukafanikisha ulichokuwa umekipanga!!
Russia ni dhahiri ina intelijensia duni sana. Ina maana haikujua uwezo wa Ukraine wala uwezo wa jeshi la Russia vs Ukraine. Ukraine ilikikimbiza kikosi cha makomandoo cha Urusi toka Kiev, wengine miili yao ikitapakaa mabarabrani, tena wakati huo wakiwa hawajapewa msaada wowote wa silaha kutoka nchi za magharibi!!
Urusi ina wanajeshi karibia mara 10 ya Ukraine, ina utajiri karibia mara 10 ya uchumi wa Ukraine. Ukraine ni Taifa changa kuliko hata Tanzania. Ukraine ni ndogo zaidi ya mara 10 ya Urusi, lakini imeisimamisha Urusi isifanye ilichokitaka. Mpaka hapo, ni mafanikio makubwa kwa Ukraine, na anguko kubwa kwa Russia.
Sio USA 🇺🇸 bali ni Administration ya akina Biden ndio yenye kiherehere !
Ila Trump hataki hiyo vita alishasema siku nyingi sana !
Kwani hiyo ni mara ya kwanza kwa Ukraine kupiga ndani ya Russia?Putin ameshashinda hiyo vita. !
Biden anataka kumwangushia gari bovu Trump kwa kuruhusu makombora ya USA yapige ndani ya Urusi !
Wajaribu waone mziki wa Russia !
World war 3 is imminent !
Jamaa ulokole umemkolea haswa!Leo wanao saidiwa kujengewa vyoo na Japan,wanajikuta wachambuzi wa mambo ya vita,wakati huo huo nchi yake hata kutengeneza chupi haiwezi.
Poor Africa.
Mkuu acha uongo nipe link Moja TU wachambuzi wabobezi wanaubeza jeshi la Russia.Wataalam wa mambo ya kivita wa Dunia, wanakubaliana kuwa japo jeshi la Urusi ni miongoni mwa majeshi makubwa sana Duniani, lakini uwezo wake wa kivita, upo exagerated. Vita hii ambayo Urusi iliianzisha dhidi ya Ukraine, imethibitisha uwezo halisia wa jeshi la Urusi katika masuala ya kivita.
Point lessPutin ameshashinda hiyo vita. !
Biden anataka kumwangushia gari bovu Trump kwa kuruhusu makombora ya USA yapige ndani ya Urusi !
Wajaribu waone mziki wa Russia !
World war 3 is imminent !