Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Ninaweza nina kachembe chembe ka utapeli ila sikatumii vizuri aisee
Maana rafikizangu wananiamini balaa Yani nikifa simuyangu nizikwe nayo watu wataumbuka 😂😂😂

first time nimecheza nikawa mtunza fedha yaan walikuwa wananiamini wale wamama alafu nilikuwa kadogo wote watu wazima
Mtaani Sasa hatar
Kazini nako hebu nitumie hii karma vizuri nianze kazi niwe milionea mm 😀😀😀
Na wanaume wengi tunafeli kumchunguza mwanamke kwa chati zake na wanaume 🤔🤔🤔 ukitaka kumjua mke wako angalia chati za ma shoo zake😂😂😂😂😂
 
Disadvantage: Sio rahisi mana wanakuaga kama Single mother tu... jambo dogo yule mama fulani/mke wangu wa zamani alikua anafanya hivi...
Advantage : Wanajua majukumu yao ya mezani 😄
 
😀😀
Kumbe wapo vyema point ya high capital
Ukiolewa na aliyeachwa ndo Huwa shida halafu ukute mume ana gubu halafu mke aliyemkataa awe yupo vzrii kwa secta zote , maji utaita MMA😂

Ila naonaga kwa walioacha wao hawanaga tabu , sister wangu mpka Leo mwaka wa 10 Bado yupo ndoani na mume aliwahi kuoa akaacha.
 
Et wanakuwa na gubu itakuwa kweli
 
Natumaini mkopoa?

Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa

Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mke na ana watoto before hajamuoa

Katika mazungumzo yetu mara nyingi Huwa anasema ni ngumu Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa ikiwa mwanamke pia hukuwah kuolewa

Mara ya pili akarudia neno hilo Hilo
Sikutaka kuhoji sana sababu nilishasikia mahali nimeona niliweke hapa Kwa wataalamu na watu wenye uzoefu

Je ni kweli Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa au Kuishi na mwanamke ni changamoto?
Huwa wapoje Hawa watu ambao ndoa zao za mwanzo zimevunjika
Hakuna tatizo lisilokuwa na utatuzi, binafsi sioni kama kuna ugumu ambao nitashindwa kuutatua kuishi na mwanamke aliyewahi kuolewa, kuweni wawazi tu kwenye hayo mahusiano yenu.
 
Mimi niliwahi sikia ugumu huwa unakuwepo zaidi kwa mgane/mjane, sababu wengi wenza wao wameondoka wakiwa bado wanapendana kwa dhati, hawakuwa na mpango wa kuachana ila ndiyo hivyo wakatangulia mbele za haki,

hasa ukute wameachiwa watoto, inahitajika mno uvumilivu wa hali ya juu kuishi nao, kuwachukulia na kuwaelewa..!!
Hii nakubali
Ila nimenotice kitu comment za chini kuwa walioachwa au waliopigwa matukio ndio Huwa na (trauma)ila waliokubali wenyew kuvunja hayo mahusiano Huwa cool sana hili nimeona nalo Lina mashiko
Japo wote watakuwa wako vizuri kwenye experience 😀😀
 
Hakuna tatizo lisilokuwa na utatuzi, binafsi sioni kama kuna ugumu ambao nitashindwa kuutatua kuishi na mwanamke aliyewahi kuolewa, kuweni wawazi tu kwenye hayo mahusiano yenu.
Inategemea lakini na ugumu wake mfano mkeo kilasiku anakulibganisha na x mume utamuelewa?😀
 
Mama yangu alikuwa ananiambia hivyo, nilikuwa msichana mdogo, sikuwahi ku hoji Sana sababu ni zipi?
Lakini nilimsikiliza na kufuata maneno yake, na namshukuru Sana.

Kutakuwa kuna sababu labda mawasiliano, comparisons za mke wa Kwanza na wa pili, majukumu etc
Mkuu Mama paradigm Mimi hapa sijawahi kuoa. Nije Pm tuyajenge?
 
Mama yangu alikuwa ananiambia hivyo, nilikuwa msichana mdogo, sikuwahi ku hoji Sana sababu ni zipi?
Lakini nilimsikiliza na kufuata maneno yake, na namshukuru Sana.

Kutakuwa kuna sababu labda mawasiliano, comparisons za mke wa Kwanza na wa pili, majukumu etc
Ooho haya mambo basi ni tangu zamani
Yalikuwa magumu labda ukitaka kufaulu uwe na extra Zaid ya wa awali lakn hakuna mkamilifu Hilo kulitimiza ni gumu
 
Dunia imebadilika, options zimekuwa nyingi, hata kwa hao ambao hawajawahi kuishi na wenza hapo awali, ndoa zao sio stable namna hiyo. Sikuhizi kwenye ndoa kila mtu anaingia akiwa na option B mfukoni. Inabidi mkubaliane na mabadiliko haya, ndoa za sikuhizi sio ndoa tulizokuwa tunaziona miaka ya 2005 kurudi nyuma
Plan B Kwamba ukinizingua tunazingua Umenikumbusha Jana status ya mke wa mtu imeandikwa mapenz hayampi stress Tena amekomaa nikasema igwee😀😀
 
Hii nakubali
Ila nimenotice kitu comment za chini kuwa walioachwa au waliopigwa matukio ndio Huwa na (trauma)ila waliokubali wenyew kuvunja hayo mahusiano Huwa cool sana hili nimeona nalo Lina mashiko
Japo wote watakuwa wako vizuri kwenye experience 😀😀
Experience ya kula mzigo sio?±
 
Back
Top Bottom