Asante kwa kuniita Mamdogo. Eksipiriense zinatofautiana.
Kwenye group la mashost zangu walioolewa; Shogaetu aliyeolewa na bwana (muislamu) Aliyewahi kuoa akadivorce with 3 kids ndio our best couple so far. Wana struggle zao chache tu, Mwanaume ni Muislamu, dada ni mkristo amebadilisha dini kumfuata mume, so kuna vitu bado wanaeleweshana otherwise hawana matatizo kivileeee , wameongeza watoto wawili so wanao watano hadi sasa, na kapesa kapo. Ukiwajua vizuri unajua kabisa upendo unaishi mule.
My take: Aliyewahi kuoa/kuolewa ahakikishe ameheal trauma za first marriage, na awe na uhakika kama anataka second marriage things will be easier. Na sijui sana kama age range yao has something to do with their life style, Wako late 40’s na earlier 30’s, Mwanaume leads everything, dada ana amani and as much as i know, hakuna drama ya former wife/baby mama.
Shemeji etu ate it! 👌
Sasa huu ni mfano mmoja tu wa my very own best-shost, Wengine wanaweza kuwa na ekspiriensi tofauti.