Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 372
- 755
Hujaelewa mkuu, later on nikaja kuolewa na mtu ambaye hajawahi kuoa, Kwa hiyo nilifuata ushauri wa bimkubwa.Mkuu Mama paradigm Mimi hapa sijawahi kuoa. Nije Pm tuyajenge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa mkuu, later on nikaja kuolewa na mtu ambaye hajawahi kuoa, Kwa hiyo nilifuata ushauri wa bimkubwa.Mkuu Mama paradigm Mimi hapa sijawahi kuoa. Nije Pm tuyajenge?
Hata mimi naonaMwanaume tuliowahi kuoa sasa ni rasmi tumeanza kunyanyasika humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
absolutely,Hii nakubali
Ila nimenotice kitu comment za chini kuwa walioachwa au waliopigwa matukio ndio Huwa na (trauma)ila waliokubali wenyew kuvunja hayo mahusiano Huwa cool sana hili nimeona nalo Lina mashiko
Japo wote watakuwa wako vizuri kwenye experience 😀😀
Jaman napenda mwanaume aliyeachana na mke wake au mwenye stress za ndoa au mahusiano, nataman ningekuwa nawafarijiNatumaini mkopoa?
Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa
Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mke na ana watoto before hajamuoa
Katika mazungumzo yetu mara nyingi Huwa anasema ni ngumu Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa ikiwa mwanamke pia hukuwah kuolewa
Mara ya pili akarudia neno hilo Hilo
Sikutaka kuhoji sana sababu nilishasikia mahali nimeona niliweke hapa Kwa wataalamu na watu wenye uzoefu
Je ni kweli Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa au Kuishi na mwanamke ni changamoto?
Huwa wapoje Hawa watu ambao ndoa zao za mwanzo zimevunjika
kula tanoDunia imebadilika, options zimekuwa nyingi, hata kwa hao ambao hawajawahi kuishi na wenza hapo awali, ndoa zao sio stable namna hiyo. Sikuhizi kwenye ndoa kila mtu anaingia akiwa na option B mfukoni. Inabidi mkubaliane na mabadiliko haya, ndoa za sikuhizi sio ndoa tulizokuwa tunaziona miaka ya 2005 kurudi nyuma
hakuna .........kikubwa kuchapwa nao........ 😀 🙂 😀 🙂 🙂Natumaini mkopoa?
Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa
Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mke na ana watoto before hajamuoa
Katika mazungumzo yetu mara nyingi Huwa anasema ni ngumu Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa ikiwa mwanamke pia hukuwah kuolewa
Mara ya pili akarudia neno hilo Hilo
Sikutaka kuhoji sana sababu nilishasikia mahali nimeona niliweke hapa Kwa wataalamu na watu wenye uzoefu
Je ni kweli Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa au Kuishi na mwanamke ni changamoto?
Huwa wapoje Hawa watu ambao ndoa zao za mwanzo zimevunjika
Single mother mwenye teenagers HabariKiukweli mkutane tu wote mko pepa 2.
Kuna kuheshimiana kwingi sana!
Ila we ndo unaanza mwenzio dimba la tatu au la pili, weeeeh!
I for one, siwezi kudate mtu ambaye hajawahi kuoa.
let alone kuishi naye sijui kuolewa naye.
aje na miaka yake kadhaa ya ndoa, hata 15 , awe na watoto wakubwa, nina watoto wakubwa, awe ameshamanage a household yenye mke watoto mateenagers yani kwa kifupi hata kama umeoa na watoto wako ni wadogo wadogo tutasumbuana.
Kuna siku nitakwambia kijana kavuta bhangi shuleni , utaona jambo la ajabu kwa kuwa hujawahi kupata changamoto za kulea matineja.
SASA kuja na vikapu vyako, nije na vyangu tutengeneze familia.
Unajua nikisema nina changamoto za malezi utaelewa, nitaelewa ukisema binti kazingua nitaweza kuzungumza nae na akanitrust nami wangu wakakutrust.
With this chaguo, mnajua hata limit yenu kuwa tunafanya one and two kwa ajili ya hawa na one and two kwa ajili yetu!
hata huyo ex wako huko ni mzee mwenzetu nami ex wangu anakuwa mzee mwenzetu.
Kuna drama nyinngi sana zinakuwa zimepunguzwa nakwambia
Unakuja na akili zako nakuja na akili zangu.
Kila mmoja anamhitaji mwenzie , hamna anatakayejihisi is giving too much of anything.
Both teams to score!
😅😅😅Single mother mwenye teenagers Habari
ahahahaha Salama kabisaSingle mother mwenye teenagers Habari
Asante sanaKiukweli mkutane tu wote mko pepa 2.