Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Na wanaume wengi tunafeli kumchunguza mwanamke kwa chati zake na wanaume πŸ€”πŸ€”πŸ€” ukitaka kumjua mke wako angalia chati za ma shoo zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Disadvantage: Sio rahisi mana wanakuaga kama Single mother tu... jambo dogo yule mama fulani/mke wangu wa zamani alikua anafanya hivi...
Advantage : Wanajua majukumu yao ya mezani πŸ˜„
 
πŸ˜€πŸ˜€
Kumbe wapo vyema point ya high capital
Ukiolewa na aliyeachwa ndo Huwa shida halafu ukute mume ana gubu halafu mke aliyemkataa awe yupo vzrii kwa secta zote , maji utaita MMAπŸ˜‚

Ila naonaga kwa walioacha wao hawanaga tabu , sister wangu mpka Leo mwaka wa 10 Bado yupo ndoani na mume aliwahi kuoa akaacha.
 
Et wanakuwa na gubu itakuwa kweli
 
Hakuna tatizo lisilokuwa na utatuzi, binafsi sioni kama kuna ugumu ambao nitashindwa kuutatua kuishi na mwanamke aliyewahi kuolewa, kuweni wawazi tu kwenye hayo mahusiano yenu.
 
Hii nakubali
Ila nimenotice kitu comment za chini kuwa walioachwa au waliopigwa matukio ndio Huwa na (trauma)ila waliokubali wenyew kuvunja hayo mahusiano Huwa cool sana hili nimeona nalo Lina mashiko
Japo wote watakuwa wako vizuri kwenye experience πŸ˜€πŸ˜€
 
Hakuna tatizo lisilokuwa na utatuzi, binafsi sioni kama kuna ugumu ambao nitashindwa kuutatua kuishi na mwanamke aliyewahi kuolewa, kuweni wawazi tu kwenye hayo mahusiano yenu.
Inategemea lakini na ugumu wake mfano mkeo kilasiku anakulibganisha na x mume utamuelewa?πŸ˜€
 
Mkuu Mama paradigm Mimi hapa sijawahi kuoa. Nije Pm tuyajenge?
 
Ooho haya mambo basi ni tangu zamani
Yalikuwa magumu labda ukitaka kufaulu uwe na extra Zaid ya wa awali lakn hakuna mkamilifu Hilo kulitimiza ni gumu
 
Plan B Kwamba ukinizingua tunazingua Umenikumbusha Jana status ya mke wa mtu imeandikwa mapenz hayampi stress Tena amekomaa nikasema igweeπŸ˜€πŸ˜€
 
Experience ya kula mzigo sio?Β±
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…