Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

absolutely,
na mara nyingi traumas ndiyo huwa zinatutesa, ila ukipona na yeye akapona, tena ukute unafanya vitu hajawahi fanyiwa, walaqhi' unapewa dunia..!!
 
Jaman napenda mwanaume aliyeachana na mke wake au mwenye stress za ndoa au mahusiano, nataman ningekuwa nawafariji
 
kula tano
 
hakuna .........kikubwa kuchapwa nao........ πŸ˜€ πŸ™‚ πŸ˜€ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Kiukweli mkutane tu wote mko pepa 2.
Kuna kuheshimiana kwingi sana!
Ila we ndo unaanza mwenzio dimba la tatu au la pili, weeeeh!

I for one, siwezi kudate mtu ambaye hajawahi kuoa.
let alone kuishi naye sijui kuolewa naye.
aje na miaka yake kadhaa ya ndoa, hata 15 , awe na watoto wakubwa, nina watoto wakubwa, awe ameshamanage a household yenye mke watoto mateenagers yani kwa kifupi hata kama umeoa na watoto wako ni wadogo wadogo tutasumbuana.
Kuna siku nitakwambia kijana kavuta bhangi shuleni , utaona jambo la ajabu kwa kuwa hujawahi kupata changamoto za kulea matineja.
SASA kuja na vikapu vyako, nije na vyangu tutengeneze familia.
Unajua nikisema nina changamoto za malezi utaelewa, nitaelewa ukisema binti kazingua nitaweza kuzungumza nae na akanitrust nami wangu wakakutrust.

With this chaguo, mnajua hata limit yenu kuwa tunafanya one and two kwa ajili ya hawa na one and two kwa ajili yetu!
hata huyo ex wako huko ni mzee mwenzetu nami ex wangu anakuwa mzee mwenzetu.
Kuna drama nyinngi sana zinakuwa zimepunguzwa nakwambia
Unakuja na akili zako nakuja na akili zangu.
Kila mmoja anamhitaji mwenzie , hamna anatakayejihisi is giving too much of anything.
Both teams to score!
 
Single mother mwenye teenagers Habari
 
Sidhani kama ni kweli ila hapa inaangalika tabia za mtu husika.. ila naamin alietoka kwenye ndoa kabla hukuwa na uelewa mkubwa wa mambo na jinsi ya kuyakabili ila ni vzr kujua kwanini alitoka huko ndoani ili ujue wapi pa kuanza kutibu
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…