Asante mkuu kwa mchango wakoAsante kuniita Aaliyyah, nadhani hili linajibiwa vizuri na wanawake..wale waliopitia huu uzoefu.
Ila naweza kusema tu huenda hao wanaume wanakuwa na ile tabia ya kulinganisha, kwamba wewe sio bora kama ex wife, una madhaifu mengi ni bora yule wa kwanza, labda uchafu, huwezi kupika vizuri, hunipi kipapa vile nataka, una mdomo nk. Huwa kuna tabia ya kulinganisha...ni mawazo tu, sina uzoefu!
hahaha hiyo kichwa yako duhIla ukoko Wa tambi za sukari ni mtamu nyie..
Yani huu mwaka had maji tuite mmaπ€£π€£Kha! Hatari so in short ni kwamba mwanahme anakiwa anakumbuka mapenzi ya former wifeπ€£π€£π€£
Isije ikawa ata wakati wa kumgegeda current wife anavuta picha ya mbusush ya mke wa zamani π€£π€£π€£π€£
Waoaji na waolewaje kazi tunayo
Si ngumu kuishi, msingi wa mahusiano yao nu upi, hiko ndicho kitawabeba au kitawaangushaNatumaini mkopoa?
Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa
Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mume na ana watoto before hajamuoa
Katika mazungumzo yetu mara nyingi Huwa anasema ni ngumu Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa ikiwa mwanamke pia hukuwah kuolewa
Mara ya pili akarudia neno hilo Hilo
Sikutaka kuhoji sana sababu nilishasikia mahali nimeona niliweke hapa Kwa wataalamu na watu wenye uzoefu
Je ni kweli Kuishi na mwanaume aliewahi kuoa au Kuishi na mwanamke ni changamoto?
Huwa wapoje Hawa watu ambao ndoa zao za mwanzo zimevunjika
Weee sema tuu mwaka huu ngoma nagu kwakoπ€£π€£π€£ tuongeze mwaka mwengine tuone kama pilau litalika π€£π€£π€£π€£Yani huu mwaka had maji tuite mmaπ€£π€£
Ndio maana wanasisitiza, "Marry your first", unakuwa na uzoefu wa mtu mmoja, huna wa kulinganisha nae, hujui wengine wanafananaje.@
Asante mkuu kwa mchango wako
Kma ni hivo bas Kuna shida kubwa
Ukiwa mwanamke bwana ni Raha tu .Miss Aaliyyah mambo ?
Kwanza sina experience na hili jambo lakini nakuahidi kulifanyia utafiti ili nipate uhakika. Halafu nitaweka mrejesho.
ππ Kumbe na wewe umewahi kuoa ?Mwanaume tuliowahi kuoa sasa ni rasmi tumeanza kunyanyasika humuππππ
Mwanaume alietoka kuoa anakuwa amebeba experience (bad or good), so vitu vingi vitakuwa si vipya kwake, now wameanzaje mahusiano yao hapo ndipo msingi wa yote. Walianza kwa upendo, mwanaume / mwanamke alipenda kweli, au it was random attachment?Kivip mkuu sijaelewa kwenye msingi wa mahusiano hapo