Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

Angalia mwenye uwendawazimu wenye nafuu au ambaye mnafanana uwendawazimu then msonge mbele, mambo ya kuumizana kichwa ni kupoteza wakati
Lazima antidote itafutwee dharau za kimalaya zipungue🤣, nimeshakueleza nafata nini jf tena unaanza kunishauri, utanichanganya!!🙌🏾
 
Sometimes napiga nyeto hasa nikiwa nna hasira.

Naweza kukuona umefanya makosa, afu kumbe mm hua nafanya hilo kosa sirini au mbele za watu wengine (hii kila mtu anao huu uwendawazimu?
Binadamu huwa tunaona makosa ya wenzetu tu🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom