Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

Kuangalia order za wateja wangu ilo la kwanza, la pili kuangalia soko la hisa limekaaje huku Tembo kashuka hii traders inatukata mpaka utumbo. 😥

Halafu naingia JF kidogo lakini mara nyingi nikiwa JF ujue kuna issue naifanya online.
Kwakifupi wewe unateseka kujenga maisha tu sio kutumia wala kufaidi maisha.
 
Kuzaliwa bongo ni lazima uteseke kujenga maisha, kwani wewe huteseki pesa unaokota bila kuzitafuta?
 
Wote tunateseka kutafuta maisha ila haimaanishi kila kitu tunachofanya kiwe kina hususha kuingiza pesa hasa mtandaoni kuna watu kazi zao ni za online ila haimaanishi kilamara wanaingia mtandaoni kwaajili ya ku-make pesa many time for fun wewe umeanisha sababu za kuingia mtandaoni ku-makd pesa tesa tu hapo.
 
Huo ni mtazamo wako na sikupingi, halafu hao sio mimi.

Nautumia mtandao kwa faida na wakati huo huo nikiburudika. Siwezi kuspend a lot of money kwa kubuy bundle eti kisa nije kujichekesha online bila mpunga kuingia..!!
Huo wazimu sifanyi. “When you see me online, you see the business” halaaaa

Soko la hisa mida ndo hii linafunguliwa njoo tupige trading..!!
 
Back
Top Bottom