Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Wewe unadhani nini kingetokea kwa jamii kama wangetangaziwa tu gafla? Kuvujisha taarifa it was the part of the plan to prepare the wananchi psychologically maana ule mcyba ulikuwa ni wa watiziii wote it was all planed.. Conclusion angalia aliye anounce the event na anaye anounce the memorial day ni nani? Kama ni mtu yule yule pigia mstari
 
GT hawajitaji, wanatambulika kwa matendo, sio kwa kujisema, hemu anzisha: gtforums.com

Hawa wasio GT ndo huwa wana impact kwenye, kama wabisha angalia trends online.

Kama una agenda ya GT tu kwa kutuzalilisha sisi, why dont u go to UD and address them?

Ukileta agenda za kutuzalilisha sisi standard 7, the resemblence of your agenda to stupidity is uncanny.
 
Does someone need a PhD to understanding the surrounding events before the declaration?
Hata tangazo lenyewe lilipotoka, likitolewa kwa staili ya kuwahi jambo au kutoa pressure kwa waliokuwa wakizuia tangazo ili wauogope pressure ya umma na jamii ya nje ya Tanzania.
Kulikuwa na sababu ya tangazo kutolewa Tanga? Kwa heshima ya cheo alichokuwa nacho mtu huyo kabla ya kufariki?
 
The problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo😀😀😀
Rejea (references) akiweka, anaweka threads zake zilizopita. Hujyu jamaa nadhani ni mbinafsi sana
 
Iko tume moja iliundwa baada purukushani ile kupita na kigoda kukaliwa kuchunguza nini kilifanyika pale kwenye majengo pacha mtaa wa Milambo #2 .
Bahati mbaya kama ilivyo kawaida ya serikali ripoti za tume muhimu kama kama zitagusa maslahi ya watu "muhimu" hazitolewi tena hadharani, lakini ripoti ile ingetolewa maswali yako yote yangejibika kwa nini kwa siku 5 nzima habari ilifichwa.
Na jee kama ilifichwa nani alificha na nani alikuwa anajua? Maana inavyoonyesha ni kama 2nd i/c alikuwa hajui wala hakuambiwa na wakampeleka Waja leo waondoka leo akapunge upepo huko.
Tudai ile ripoti ya majengo pacha mzigo gani ulitoka mle? Maana usikute hata huu tunaambiwa uko China ulienda wakati huo.
 
Back
Top Bottom