Huyu bwana truly was great. Atabaki kusemwa miaka mingi sana baadaye, unless aje mwingine kumfanya huyu asaahulike.
Kabisa mkuu, kuendesha kundi la watu wasiojulikana kisha ukawa unaenda madhabahuni na kuanza kutoa hotuba, hilo sio jambo dogo.
Uzi Huu unajadili event not any idea, so hakuna uGT wowote unaohitajika hapa. Pascal Mayalla asikudanganye.wale mlio jipambanua kuwa ma GT tunasubiri michango yenu hapa.
Rejea (references) akiweka, anaweka threads zake zilizopita. Hujyu jamaa nadhani ni mbinafsi sanaThe problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo😀😀😀