dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Dr atabakikuwa rais mahiri sna kuwai kutokea kwa ukanda huu wa A mashariki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini jamaa, ngoja inakujaaa kwa mbali.... Lakini si pekee. Pia Makonda japo hakuwa na tiketi yoyote alikuwa anahaha kwa team walioshikilia, mana matumaini ndio yaleee....Hajakosea... Kumbe....?
Yaani kusema lazima tupate huyu... Na sio Mama kama katiba inavyosema unasema porojo?
Wote walikuwepo kuleta figisuLakini jamaa, ngoja inakujaaa kwa mbali.... Lakini si pekee. Pia Makonda japo hakuwa na tiketi yoyote alikuwa anahaha kwa team walioshikilia, mana matumaini ndio yaleee....
Tupo pamoja. Na huyu balozi kimaneno vipi, alikuepo?
Mbona wamepewa zawadi sio adhabu. Nahisi kwa kosa hili ilitakiwa wakasafishe choo. Hii bado nahisi porojoWote walikuwepo kuleta figisu
Askofu Rashid aliwaongopea.kuwa hayo ndiyo maeneo yake ya kujidai hivyo wapige kimya kwani angemfufua.Labda bado walikuwa wanajadiliana na ku debate wenyewe kama ni kweli hawanaye tena kwa hofu kubwa anaweza kuibuka tena ikawa kizungumkuti, bwana yule alikuwa anatisha[emoji16]
Kiswaswadu mwongo sana
Zawadi na kutolewa mdogo mdogoMbona wamepewa zawadi sio adhabu. Nahisi kwa kosa hili ilitakiwa wakasafishe choo. Hii bado nahisi porojo
Conspiracy theory.
Wewe nakupenda zaidi.Wewe Unampenda sanaa huyu Brother snart boy Pascal Mayalla[emoji12]
Uliyoyaeleza siyo sahihi, japo hupo mbali na ukweli.Hayo mambo ni kawaida, mimi naamini Nyerere alikufa kabla haijatangazwa, siku tunayofanya kumbukumbu ni siku iliyoamuliwa tu.
Same thing kwa Christmas, 25 December sio siku aliyozaliwa Yesu lakini watu wameamua iwe ni hivyo ndiyo wanaisherehekea.
Na Magufuli haijalishi kafa lini na katangazwa lini, iwe siku hiyo au nyingine.
Walioamua wamefanya uamuzi kutokana na sababu wanazozijuwa wao, zitakuwa ni nzuri tu kwa wakati huo.
Yote matatu umejaribu kuyatetea lakini haijalishi. Wote hao ni binaadam kama sisi na mwisho wetu ukifika umefika, itangazwe isitangazwe ni faida na matakwa ya wanaoamua, kwangu its all the same. Hainiumizi kichwa.Uliyoyaeleza siyo sahihi, japo hupo mbali na ukweli.
1) Kuhusu Nyerere, madaktari wanajua, kuna mahali fulani binadamu mgonjwa akifikia, huwezi ku-reverse. Kipimo kimoja kikubwa ni uwezo wa ubongo. Mwalimu Nyerere alifikia mahali ambapo uhai wake ulishikiliwa na machines za ICU. Baada ya kutoonekana dalili za kuurejea uhai, waliamua kupima uwezo wa ubongo. Ndipo ilipoonekana kuwa ubongo upo katika kiwango ambacho hawezi kuishi tena. Mawasiliano yakafanywa na familia na Serikali, ndipo maabdalizi ya msiba yakaanza. Na siku iliyokubaliwa zikaondolewa machine. Kwa hiyo alifariki siku ilipotangazwa.
2) Christmas, ifahamike hakukuwepo na utunzaji wa kumbukumbu za tarehe nyakati hizo, na mfumo wa kuhesabu miezi na tarehe ulikuwa tofauti na sasa. Kwa hiyo kilichofanyika ni kujitahidi kuwa katika kipindi alichozaliwa, lakini bila ya kuwa na uhakika wa siku. Inajulikana nyakati ilipofanyika sensa, inafahamika kipindi ambacho wachungaji walikuwa wakipeleka kondoo maeneo hayo aliyozaliwa Kristo Yesu, inafahamika watoto wa kiume walipouawa kwa mamlaka ya Herold. Matukio haya yalisaidia kujua nyakati ambazo Yesu alizaliwa.
3) Kuhusu Magufuli, siyo kwamba tarehe kamili haifahamiki, siyo kwamba alikuwa kwenye uhai wa kushikiliwa na machine, na hivyo alifariki siku walipoondoa machine. Ukweli ni kwamba alifariki, lakini wenye mamlaka wakaamua kukaa kimya, na kuamua kutangaza siku waliyotaka wao. Kama ni kuandaa mazingira, bado walikuwa na uwezo wa kutoa tangazo tarehe 17, lakini wangeeleza tarehe kamili aliyoaga dunia. Kwa kweli sikuona umuhimu wa kudanganya tarehe ya kifo chake.
Lakini vyovyote iwavyo, haibadilishi chochote, japo inafahamika kuwa wananchi wana haki ya kupewa taarifa sahihi.
naomba siku ukiandika huo uzi unitag na mimi.Tarehe 06/03/2021 Sauti nakabwa kooni ilisikika Mara kadhaa na shughuli yake pale Dodoma kwa wajeda ikasitishwa ilikuwa ifanyike tarehe 09 l.kwa Suala la Protocol ni kwamba kiomgozi akiondoka hawatangazi tu Ila kuna utaratibu, bahati mbaya TISS yetu hawezi thibiti taarifa nyeti Kama hii BADALA yake Taaruki zikiaza hadi PM akaanza kujikanyaga. Na hii ni baada ya kujaribu kukwepa kumpandisha pipa wampeleke kwa mabeberu, wakaomba ubalozi wa CHINA the direct flight to them nao wakakataa, na walishaanza kushangilia tokea tarehe 10/03/2021 Taarifa tulikuwa nazo (Ndo maana naangaliaga Kapuku wa Manzese eti alikubalika kwa wa China na China wakati ndege walitunyima’ kwa Kifupi watu walio ukanda fulan walishapewa na hints Kama atakubaliwa’ Kifupi kuna mengi ntashusha uzi one day kueleza why wasingetumia ndege yetu direct to china, also why China denied kutoa msaada wa ndege kwa afya yake
Britanicca
Sitaki kuamini kama walikuwa hawajui.Hivi hata hao waliondele na ratiba walikuwa hawaehtuki... Hadi mwingine akajirhalilisha eti jamaa yupo anapiga mzigo! Kwa tukio, lile. Inadhihirisha kuwa wasaidizi wawili wale ni ceremonial au Wakati ule wa giza..
Walikuwa ceremonials!
Japo miaka inaendelea kupita bila ukweli halisi kuwekwa bayana, this is the day na kuna siku itafika ukweli huu utawekwa bayana!, swali tunalojiuliza bila majibu, ni walikuwa wanafanya nini na huo... kwa siku 5 nzima mpaka tulipojulishwa?.Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Kusonga bila kuwa na uhakika kama ikitokea tena tunaweza kupata nyeti kwa wakati pia inapendeza kumbukaKwakuwa yameshatokea ya kutokea tusonge mbele maswali mengi sidhani kama yatabadilisha yaliyokwisha fanyika