Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Hajakosea... Kumbe....?

Yaani kusema lazima tupate huyu... Na sio Mama kama katiba inavyosema unasema porojo?
Lakini jamaa, ngoja inakujaaa kwa mbali.... Lakini si pekee. Pia Makonda japo hakuwa na tiketi yoyote alikuwa anahaha kwa team walioshikilia, mana matumaini ndio yaleee....
Tupo pamoja. Na huyu balozi kimaneno vipi, alikuepo?
 
Wote walikuwepo kuleta figisu
 
Labda bado walikuwa wanajadiliana na ku debate wenyewe kama ni kweli hawanaye tena kwa hofu kubwa anaweza kuibuka tena ikawa kizungumkuti, bwana yule alikuwa anatisha[emoji16]
Askofu Rashid aliwaongopea.kuwa hayo ndiyo maeneo yake ya kujidai hivyo wapige kimya kwani angemfufua.
 
Labda maandalizi
44A3397D-3C5F-4C29-8AC9-1C0B89E62037.jpeg
 
Nchi yetu haijawai kutokewa na tukio kama hili ,shida ilikua kwenye mrithi unadhani kwa Nguvu zile za Hayati watu wake wangekubali kirahisi kuacha asali ile ?
Kikubwa nadhani ni St Peters walikua wanaweka mambo sawa ili baadae kusiwe na Conflicts na kweli Wazalendo walishinda vita ile
 
Hayo mambo ni kawaida, mimi naamini Nyerere alikufa kabla haijatangazwa, siku tunayofanya kumbukumbu ni siku iliyoamuliwa tu.

Same thing kwa Christmas, 25 December sio siku aliyozaliwa Yesu lakini watu wameamua iwe ni hivyo ndiyo wanaisherehekea.

Na Magufuli haijalishi kafa lini na katangazwa lini, iwe siku hiyo au nyingine.

Walioamua wamefanya uamuzi kutokana na sababu wanazozijuwa wao, zitakuwa ni nzuri tu kwa wakati huo.
Uliyoyaeleza siyo sahihi, japo hupo mbali na ukweli.

1) Kuhusu Nyerere, madaktari wanajua, kuna mahali fulani binadamu mgonjwa akifikia, huwezi ku-reverse. Kipimo kimoja kikubwa ni uwezo wa ubongo. Mwalimu Nyerere alifikia mahali ambapo uhai wake ulishikiliwa na machines za ICU. Baada ya kutoonekana dalili za kuurejea uhai, waliamua kupima uwezo wa ubongo. Ndipo ilipoonekana kuwa ubongo upo katika kiwango ambacho hawezi kuishi tena. Mawasiliano yakafanywa na familia na Serikali, ndipo maabdalizi ya msiba yakaanza. Na siku iliyokubaliwa zikaondolewa machine. Kwa hiyo alifariki siku ilipotangazwa.

2) Christmas, ifahamike hakukuwepo na utunzaji wa kumbukumbu za tarehe nyakati hizo, na mfumo wa kuhesabu miezi na tarehe ulikuwa tofauti na sasa. Kwa hiyo kilichofanyika ni kujitahidi kuwa katika kipindi alichozaliwa, lakini bila ya kuwa na uhakika wa siku. Inajulikana nyakati ilipofanyika sensa, inafahamika kipindi ambacho wachungaji walikuwa wakipeleka kondoo maeneo hayo aliyozaliwa Kristo Yesu, inafahamika watoto wa kiume walipouawa kwa mamlaka ya Herold. Matukio haya yalisaidia kujua nyakati ambazo Yesu alizaliwa.

3) Kuhusu Magufuli, siyo kwamba tarehe kamili haifahamiki, siyo kwamba alikuwa kwenye uhai wa kushikiliwa na machine, na hivyo alifariki siku walipoondoa machine. Ukweli ni kwamba alifariki, lakini wenye mamlaka wakaamua kukaa kimya, na kuamua kutangaza siku waliyotaka wao. Kama ni kuandaa mazingira, bado walikuwa na uwezo wa kutoa tangazo tarehe 17, lakini wangeeleza tarehe kamili aliyoaga dunia. Kwa kweli sikuona umuhimu wa kudanganya tarehe ya kifo chake.

Lakini vyovyote iwavyo, haibadilishi chochote, japo inafahamika kuwa wananchi wana haki ya kupewa taarifa sahihi.
 
Yote matatu umejaribu kuyatetea lakini haijalishi. Wote hao ni binaadam kama sisi na mwisho wetu ukifika umefika, itangazwe isitangazwe ni faida na matakwa ya wanaoamua, kwangu its all the same. Hainiumizi kichwa.
 
Tarehe 06/03/2021 Sauti nakabwa kooni ilisikika Mara kadhaa na shughuli yake pale Dodoma kwa wajeda ikasitishwa ilikuwa ifanyike tarehe 09 l.kwa Suala la Protocol ni kwamba kiomgozi akiondoka hawatangazi tu Ila kuna utaratibu, bahati mbaya TISS yetu hawezi thibiti taarifa nyeti Kama hii BADALA yake Taaruki zikiaza hadi PM akaanza kujikanyaga. Na hii ni baada ya kujaribu kukwepa kumpandisha pipa wampeleke kwa mabeberu, wakaomba ubalozi wa CHINA the direct flight to them nao wakakataa, na walishaanza kushangilia tokea tarehe 10/03/2021 Taarifa tulikuwa nazo (Ndo maana naangaliaga Kapuku wa Manzese eti alikubalika kwa wa China na China wakati ndege walitunyima’ kwa Kifupi watu walio ukanda fulan walishapewa na hints Kama atakubaliwa’ Kifupi kuna mengi ntashusha uzi one day kueleza why wasingetumia ndege yetu direct to china, also why China denied kutoa msaada wa ndege kwa afya yake

Britanicca
naomba siku ukiandika huo uzi unitag na mimi.
 
Hivi hata hao waliondele na ratiba walikuwa hawaehtuki... Hadi mwingine akajirhalilisha eti jamaa yupo anapiga mzigo! Kwa tukio, lile. Inadhihirisha kuwa wasaidizi wawili wale ni ceremonial au Wakati ule wa giza..
Walikuwa ceremonials!
Sitaki kuamini kama walikuwa hawajui.
Facial expression zao hazikuwa na nuru.

Kuna wakati No2. akiwa kwenye mkutano wake wa mwisho na usiku wake kutangazwa taarifa yenye simanzi alitamka maneno yenye ukakasi, ingawa baadaye alirekebisha lakini GT walishaelewa kitu

Aliwaambia wasaidizi wake wawili kwamba wasipofanya vizuri watakuwa wateja wake, baadaye alibadili na kusema 'mtakiwa wateja wetu mimi na.......
 
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.

JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.

Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.

  1. Je ukweli halisi ni upi?.
  2. What really happened in that fateful day?
  3. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
  4. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
  5. Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
  6. Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
  7. Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
  8. Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
  9. If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
  10. Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.

Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.

Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.

Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.

Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.

Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.

Jumapili Njema

Paskali
Japo miaka inaendelea kupita bila ukweli halisi kuwekwa bayana, this is the day na kuna siku itafika ukweli huu utawekwa bayana!, swali tunalojiuliza bila majibu, ni walikuwa wanafanya nini na huo... kwa siku 5 nzima mpaka tulipojulishwa?.
P
 
Back
Top Bottom