Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Raisi, ataruhusu tu raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Nawasilisha.
hizo ni athari za kukosa kazi tu, na kamwe hawezi kupata hiyo kazi ya urais Tz, labda ubeligiji 🐒
 
Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Raisi, ataruhusu tu raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Nawasilisha.
Wanasiasa ni wapuuzi sana na ndio maana Wananchi hawawezi acha shughuli zao eti wakaandamane kisa Wanasiasa.

Mageuzi huja automatically na kuwa engineered na taasisi zingine tuu za kiraia na sio Vyama vya siasa, Wanasiasa ni matapeli.

Zambia,Kenya,na kwingine kote Wanasiasa wanawashughulikia wanaandamana
 
Nikiwa nipo chadema nilihamasisha vijana wenzangu tulazimishe mabadiliko ndani ya chama Mwenyekiti Mbowe apishe nguvu mpya tukafukuzwa kwenye chama kwahiyo hata wao hawataruhusu maandamano
 
Unaposema kila siku
Tupe ratiba kwa mwezi huu Agosti hao vijana wameandamana kwa siku ngapi?
Muache UCHAWA wa kindezi tumieni akili zenu ipasavyo.
 
Elewa swali, usijibu kwa mihemko
 
Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Soma Pia:
Nawasilisha.
Jibu hili hapa, walianza vijana wa CCM, wakafuatia wa ACT Wazalendo sasa Chadema matumbo yenu joto.
Screenshot_2024-08-11-18-03-39-1.png
 
Elewa dhumuni la marufuku.
Hilo ni kongamano la vijana kama kalenda ya kimataifa inavyotaka ndiyo sababu CCM na ACT Wazalendo walifanya kila chama kwa wakati wake, sipendi maswali ya kijinga kwenye jambo linaloeleweka.
 
Usijitoe akili, hujasikia viongozi wa bavicha wanahamasisha nini .?
 
Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Soma Pia:
Nawasilisha.
Mbona maandamano ya kusifia hayana vikwazo?
 
Back
Top Bottom