Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Soma Pia:
Nawasilisha.
as a matter of fact, hawezi kuruhusu, na anaweza kuwa mkali kuliko ccm, kwasababu ukitawala ukawaachia sana wapinzani, hautafanya kitu chochote kabisa. kwasababu mpinzani siku zote hutamani ushindwe ili yeye ashike nafasi. ndio lengo.
 
Habari JF

Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?

Soma Pia:
Nawasilisha.
Sio swala la kuruhusu.. kwa kuona hivyo tu inaondoa maana nzima ya swali lako. Wewe unasubirije ruhusa kwenye haki yako? Tena ya kikatiba?
 
Sijui kwanini vijana wa Tanzana wanaishabikia ccm isipokuwa labda ni mazuzu, labda.
 
Back
Top Bottom