Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .?
as a matter of fact, hawezi kuruhusu, na anaweza kuwa mkali kuliko ccm, kwasababu ukitawala ukawaachia sana wapinzani, hautafanya kitu chochote kabisa. kwasababu mpinzani siku zote hutamani ushindwe ili yeye ashike nafasi. ndio lengo.