Alipanda nini?mwendazake anavuna alichopanda
Muroto alisema mtapigwa mpaka mchakae
Sasa hapa akili ndio zinapigwa mpaka zichakae
Dawa ni kupambana na hali yoyote ili mradi siku ziende
Sitoi Mada kwa ajili ya Kutoa tu. Bali najua ninachokiongea. Kama haya kwako ni mazito huyaelewi tulia tuli mkuu!Sifa kuu ya Mtanzania Ni kuogopa kitu asicho kijua just like huyu mtoa Mada.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
I think my topic is self explanatory if you read it properly. Kindly digest it!Capture by who?
Yes you bet!State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
Mmmh si atakuwa analingana na bi kidudeHakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitake
Tuna nafasi ya kurekebisha haya mambo kwa njia ya Kikatiba. Hatuwezi kuendeshwa kama gari bovu!!
Ni vizuri viongozi kuelewa kuwa, kwa sasa watu wengi wameenda shule yaani wasomi ni wengi na ni critical thinkersHawajali hilo hata iliyopo Ina mengi lakini bado wanaikanyaga na kuisigina
Je hiyo itafiatwa? I doubt it
There is no excuse she is captured!! Time will tellWe had STATE CAPTURE during the Kikwete presidency na Ndio sababu ya kusabotage ile katiba Mpya kwani bila kufanya hivyo yangempata kama ya ZUMA Kule bonden!! Sasa Mama asipoangalia huyo mshauri wake anaweza kumsukumizia zigo la misumali akaishia kutumbukizwa lupango because her ignorance is no excuse!!!
State capture kubwa na ya hatari ni Executive iliyopoteana kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
Ni kweli Mtanzania hataki fujo. Na wala si advocate fujo, isipokuwa huwa inafika watu wanachoka. Hasa kunapokuwa na makundi ya MABWANA na WATWANA ni hatari sana.State capture kubwa na ya hatari ni Executive kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.
Ngoja yatokee makubwa zaidi labda wakiona damu watajua cha kufanya!
Hawaifati kwa kuwa inawalinda. Sio kuwa haiwalindiHawajali hilo hata iliyopo Ina mengi lakini bado wanaikanyaga na kuisigina
Je hiyo itafiatwa? I doubt it
Kwa hiyo unaunga mkono mageuzi ya katiba mpya?State capture kubwa na ya hatari ni Executive iliyopoteana kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.
Ngoja yatokee makubwa zaidi labda wakiona damu watajua cha kufanya!
Mchezo huo wataendelea nao hadi lini?Hawaifati kwa kuwa inawalinda. Sio kuwa haiwalindi
Yap... Ingekuwa inawapa wananchi mamlaka ya kubana wangeifuata kikamilifu!Hawaifati kwa kuwa inawalinda. Sio kuwa haiwalindi
Nataka Katiba Mpya!Kwa hiyo unaunga mkono mageuzi ya katiba mpya?
sahihi na hili ndio tatizo. Kuna watu wanasema mbkna iliyopo haifatwi. Wasijue kuwa ina loop holes za kutofatwa.Yap... Ingekuwa inawapa wananchi mamlaka ya kubana wangeifuata kikamilifu!
Nataka Katiba Mpya!
Katiba iliyopo sasa si ya Tanzania ya sasa. Zaidi ile iliandikwa na wanaccm kwa ajili ya ccm.
Lakini Katiba Mpya ninayotaka itoke kwa wananchi na si wanasiasa na wabunge!!