Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Tuna nafasi ya kurekebisha haya mambo kwa njia ya Kikatiba. Hatuwezi kuendeshwa kama gari bovu!!
Muroto alisema mtapigwa mpaka mchakae
Sasa hapa akili ndio zinapigwa mpaka zichakae
Dawa ni kupambana na hali yoyote ili mradi siku ziende
 
Sifa kuu ya Mtanzania Ni kuogopa kitu asicho kijua just like huyu mtoa Mada.
Sitoi Mada kwa ajili ya Kutoa tu. Bali najua ninachokiongea. Kama haya kwako ni mazito huyaelewi tulia tuli mkuu!
 
Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
 
State capture ya kiwango cha lami once ilitokwa south Africa .report yake imetoka juzi . Gupta family kuna siku walifanya arusi ikafika hatua wanatua private jet kwenye uwanja wa jeshi. Hapa si ajabu tunaelekea huko maana wapwani huwa hawana historia nzuri kwenye uongozi wa nchi yetu .kijana wa Zuma kama hivyo hivyo na influence kama liziwani alikuwa akimiliki shares na walanguzi toka India .sasa kuna mambo mengi yanaanza kujitokeza mara wahindi wanaitwa kuwekeza kwenye energy sector .hawa watu ni wa kuwaangalia Kwa jicho la mwewe
 
Hawajali hilo hata iliyopo Ina mengi lakini bado wanaikanyaga na kuisigina
Je hiyo itafiatwa? I doubt it
Ni vizuri viongozi kuelewa kuwa, kwa sasa watu wengi wameenda shule yaani wasomi ni wengi na ni critical thinkers
Mwal Nyerere alipoona watu wameanza kulilia vyama vingi yeye akawa mjanja akawaambia wimbi hili ni zito duniani kote. Si ndo akakubali nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi?
Kwa wale wanaofikiri Watanzania ni wale walewatajikuta siku moja mtu haamini kama ni Watanzania ama wageni. Kuongoza ktk kipindi hiki cha utandawazi na wengi wamesoma ni lazima mtu awe na hekima. Either ukubaliabadiliko
Au mabadiliko YAKUBADILI wewe!!
 
We had STATE CAPTURE during the Kikwete presidency na Ndio sababu ya kusabotage ile katiba Mpya kwani bila kufanya hivyo yangempata kama ya ZUMA Kule bonden!! Sasa Mama asipoangalia huyo mshauri wake anaweza kumsukumizia zigo la misumali akaishia kutumbukizwa lupango because her ignorance is no excuse!!!
There is no excuse she is captured!! Time will tell
 
Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
State capture kubwa na ya hatari ni Executive iliyopoteana kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.
Ngoja yatokee makubwa zaidi labda wakiona damu watajua cha kufanya!
 
State capture kubwa na ya hatari ni Executive kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.
Ngoja yatokee makubwa zaidi labda wakiona damu watajua cha kufanya!
Ni kweli Mtanzania hataki fujo. Na wala si advocate fujo, isipokuwa huwa inafika watu wanachoka. Hasa kunapokuwa na makundi ya MABWANA na WATWANA ni hatari sana.
 
State capture kubwa na ya hatari ni Executive iliyopoteana kudhibiti Mahakama na Bunge. Sema katiba iliyopo ndo imeruhusu maujinga haya yote.
Ngoja yatokee makubwa zaidi labda wakiona damu watajua cha kufanya!
Kwa hiyo unaunga mkono mageuzi ya katiba mpya?
 
Vijana bana, mnaongea humu Ila kesho tukisema njooni barabarani tuandamane wote mnageuka kuwa CCM ooh wanatuita tuandamane Ila wao watoto wao hawapo.

Tanzanians you deserve this. Hii ndio maana halisi ya kutawala watanzania na mpo hivyo najua mtanishambulia.

Hapa mnajibaraguza tu Sasa ngoja tuwaambie twendeni vitani wote mnakimbilia sinza kuvaa visuruali vya kubana, blaaaalifaken

Ukipata nafasi kula tu, hakuna mtanzania mwenye guys za kubishana
 
Hawaifati kwa kuwa inawalinda. Sio kuwa haiwalindi
Yap... Ingekuwa inawapa wananchi mamlaka ya kubana wangeifuata kikamilifu!
Kwa hiyo unaunga mkono mageuzi ya katiba mpya?
Nataka Katiba Mpya!
Katiba iliyopo sasa si ya Tanzania ya sasa. Zaidi ile iliandikwa na wanaccm kwa ajili ya ccm.
Lakini Katiba Mpya ninayotaka itoke kwa wananchi na si wanasiasa na wabunge!!
 
Yap... Ingekuwa inawapa wananchi mamlaka ya kubana wangeifuata kikamilifu!

Nataka Katiba Mpya!
Katiba iliyopo sasa si ya Tanzania ya sasa. Zaidi ile iliandikwa na wanaccm kwa ajili ya ccm.
Lakini Katiba Mpya ninayotaka itoke kwa wananchi na si wanasiasa na wabunge!!
sahihi na hili ndio tatizo. Kuna watu wanasema mbkna iliyopo haifatwi. Wasijue kuwa ina loop holes za kutofatwa.
 
Back
Top Bottom