Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Walishajihakikishia ulinzi wa vyombo vya dola kwa hiyo wanafanya vyovyote watakavyo.......
Kuna msemo usemao "Usipojifunza kutokana na makosa uliyokosea.
Walishajihakikishia ulinzi wa vyombo vya dola kwa hiyo wanafanya vyovyote watakavyo.......
Failure is instructive. The person who really thinks learns quite as much from his failures as from his successes.
Huo ni msemo uliwahi kusemwa na mtu. Mmoja Dewy

Nani alikua na ulinzi na bunduki kuliko Bashir?
Yuko wapi?
 
Tatizo lako unaangalia maandamano. Nani alikuambia maandamano ndo huleta mabadiliko?
Ninachozungumza hapa ni zaidi ya maandamano.
Hata maandamanoya amani bado ni haki ya kikatiba.
Ndo umeyajua Leo kwamba yana haki kikatiba!? Mbona mlikuwa mnawapiga Chadema!??
 
Mbona kwenye maoni wengi walikata vyama vingi. Tatizo kuna nadharia nyingi, wewe una ushahidi kikwete ndio ana mchagulia raisi viongozi? Hata hivo sioni vibaya raisi kuomba ushauri kwa alie mtanguli
 
Awamu ya nne imerudi kwa mlango wa nyuma
Watanzania ni lazima tupaze sauti zetu kusema kama ni kweli Kikwete ana ongoza hivyo ni ILLEGAL/Makosa KISHERIA. Aliyeapishwa ni SSH na wala si Kikwete Na hatukubali mchezo kama huo.!!
 
Hebu ondoa mambo ya vyama ktk hili angalia Maslahi mapana ya Taifa.
Maslahi mapana yapi ambayo hamkuyaona kipindi cha shetani mnakuja kuyaona Leo kama si unafiki ni nini! Kubalini kutesa kwa zamu !! Jipange labda miaka 22 ijayo maana Samia bado tunae sana tu atakaa zaidi ya miaka 20
 
Watanzania ni lazima tupaze sauti zetu kusema kama ni kweli Kikwete ana ongoza hivyo ni ILLEGAL/Makosa KISHERIA. Aliyeapishwa ni SSH na wala si Kikwete Na hatukubali mchezo kama huo.!!
Kwamba katika watanzania wote, mwanaye ndo mwenye akili ya kuwa kiongozi.......
 
Watanzania ni lazima tupaze sauti zetu kusema kama ni kweli Kikwete ana ongoza hivyo ni ILLEGAL/Makosa KISHERIA. Aliyeapishwa ni SSH na wala si Kikwete Na hatukubali mchezo kama huo.!!
We ni mbuzi yaani baada ya kuona ulaji umewaponyoka mnalalama!! Kikwete katulia zake Msoga hana shida na MTU!!! Mbona Magufuli alikuwa anaongozwa na dikteta Mkapa hatukusema!?
 
Watu wanahangaika sana. Hizi siasa zitawatesa tu. Mtakufa na stress. Chapeni kazi. Jengeni maisha yenu binafsi. Achaneni na hawa Watu.
 
We ni mbuzi yaani baada ya kuona ulaji umewaponyoka mnalalama!! Kikwete katulia zake Msoga hana shida na MTU!!! Mbona Magufuli alikuwa anaongozwa na dikteta Mkapa hatukusema!?
Mimi nilikua najibu hoja.
Swali hilo ungemuuliza aliyelileta. Hata hivyo kuna msemo usemao TWO WRONGS don't make a RIGHT!!
Yaani kuhalalisha Makosa kwa sababu mwingine alifanya hakukufanyi kuwa wewe uko sawa sawa
 
We ni mbuzi yaani baada ya kuona ulaji umewaponyoka mnalalama!! Kikwete katulia zake Msoga hana shida na MTU!!! Mbona Magufuli alikuwa anaongozwa na dikteta Mkapa hatukusema!?

Kwamba katika watanzania wote, mwanaye ndo mwenye akili ya kuwa kiongozi.......
Hii ni NEPOTISM/Undugunisation wa hali ya juu. Hii haiwezekani bana!!
 
Maslahi mapana yapi ambayo hamkuyaona kipindi cha shetani mnakuja kuyaona Leo kama si unafiki ni nini! Kubalini kutesa kwa zamu !! Jipange labda miaka 22 ijayo maana Samia bado tunae sana tu atakaa zaidi ya miaka 20
Mimi binafsi sina chuki nae labda uelewa wako mdogo. Tafadhali rudia kusoma Uzi wangu.
 
Sijaku quote narudia naongea na GTs only.kama Una Imani na Mwingira nenda kanisani kwake.
Hata kama hujani quote, hatuwezi kuacha pumba zikae JF. Tunazipeleka zizini straightforward
 
Hii ni NEPOTISM/Undugunisation wa hali ya juu. Hii haiwezekani bana!!
Jamaa keshasema hapo juu sisi wengine hatuna akili......la msingi hii dunia inazunguka na Mungu ni wetu sote.
 
Ukiangalia haya "mapenzi ya Mungu" ilikuwa ni lazima
Mkapa afe
Kijazi Afe
Mang'ula Afe(Japo yeye aliponea Muhimbili. Bila shaka aliamua kughaili baada ya kugundua hatakuwa na madhara)
Halafu wa Mwisho awe JPM.
inawezekana Mungu aliona hawa wangeendelea kuwepo baadhi ya "Mapenzi yake yasingetimilika"
Biblia inasema "shukuruni kwa Yote"
 
Ndiyo maana nikasema naongea na GTs only Ona sasa, unaongelea Mimi kutetea, soma nilicho kiongelea na nioneshe wapi nilipomtetea, misimamo yngu ya kisiasa huijui hivyo usitake kuni force.
Unamtetea Mwendazake bado unajiita na GT?? BIG shame on you. Lemme tell you upfront, you belong to mediocre minds the so called "Wanyonge". A group that was brainwashed by false propaganda
 
Mbona kwenye maoni wengi walikata vyama vingi. Tatizo kuna nadharia nyingi, wewe una ushahidi kikwete ndio ana mchagulia raisi viongozi? Hata hivo sioni vibaya raisi kuomba ushauri kwa alie mtanguli
Sina tatizo na hilo. Uzi wangu unazungumzia rais kuwa Mateka wa Wapiga deal na hivyo ku influence maamuzi ya nchi kwa manufaa yao. Pointi yangu ni hiyo. Wala sina chuki na SSH na yuko huru kupata ushauri CHANYA na si HASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…