GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Suala ni moja usikae ndani alafu wenzio wakupambanie uo ni usaliti na ni udhaifu

Kama huna mpango wa kupiga kura nenda kaandamane ivo yani atutaki watu neutral katika masuala sirias kama haya

Wazee wameamua kupiga kura ww kijana amua kimoja fanya sasa kwa ajili ya nchi yako.

Vipi kama Nchi ikikuitaji ukapigane frontline utasingizia kipi embu funguka mapenz na nchi yako
 

..mifumo imara kivipi wakati watekaji wanatamba tangu 2016 mpaka leo?
 
Moyo umekufa ganzi! Sioni mwanga mbele.

All in all, ukombozi ni hatua! At least there has been some sensitization......
 
Ujio wa Mitandao ndiyo umeua kabisa akili za Watanzania. Angalau kama mitandao ya Kijamii waliweza kusimama kama nchi, lakini tangu watu zaidi wameweza kuwa na access na mutandao, watanzania wamefanikiwa kuendelea kulala kama nchi

Mkuu hii vita baridi iliyoendeshwa kwa zaidi ya miezi mitatu baina ya serikali na waandamanaji mtandaoni ilifikia kilele hukohuko mtandaoni badala ya iwe kileleni kwa ground.

Niliandika hapa kuwa kuihamasisha vita ya mtandaoni muda mrefu kunapunguza ari ya watu kuingia barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…