Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Serikali inahofia binadamu akisha jitambua,huezi mcontrol tena..
 
Na hapa ndipo hatari yake ilipo,unajuaje uwezo wako wa kuhandle hio kitu kabla hujatumia?
 
Na hapa ndipo hatari yake ilipo,unajuaje uwezo wako wa kuhandle hio kitu kabla hujatumia?
Huo uwezo mwenyezi Mungu kampa kila mmoja wetu..ni kwamba tu unahitaji elimu ili uweze ku extract..ni kwamba tu upo domant kutokana na False Identity of mind (Ego illusions)

Kwa sababu utafundishwa signs zote za ego death na wewe uta act namna gani kipind hicho...ni maelekezo yapo wazi kabisa.
 
Serikali inahofia binadamu akisha jitambua,huezi mcontrol tena..
Sidhani kama ni kweli,

Kama faida zake ni hizo ulizotaja hapo juu mbona serikali ndio ingepaswa iwawekee hata kwenye ugali ili watu wawe conscious,maana watakuwa na huruma,uhalifu utapotea,watajitolea bila hata kupenda pesa,yaani utu utatawala,kiufupi hata wao uongozi utakuwa rahisi.
 
Amini unavyo amini wewe.
 
Kuna procedure za kufuata, hata dosage yake sio fixed
Ndio maana tunarudi palepale,ni hatari kutumia bila udhibiti,inahitaji uangalifu sana,ni kama ilivyo kwa dawa za usingizi kabla ya Operations huko Hosp,zina wataalamu wake maalum na hapa ndio maana kumekuwa na ugumu wa kuruhusu hasa wakiangalia side effects zake.
 
Huku Amazon tunaita Ayahusca na anaesimamia hiyo ibada anajulikana kama Sharman..ni sehemu ya utalii..watu wengi wanaofahamu haya mambo huja kwa ajili ya ibada hii.
 
Mkuu,Hata walioko serikalini na wao si watakuwa wameshakula dozi kwanini wafanye maovu,wanaoendesha serikali ni watu wa jamii hiihii,kumbuka hii ikishakuwa legal kila mtu atanunua kama vile tunavyonunua Panadol duka la dawa,

Tunajaribu kutafakari kwa kina
 
Ofcoz, shrooms hata US ni kwa medical uses pekee, rejea title ya uzi wangu. Ni mada kwa njia ya swali
 
Kumbuka ulimwengu unaongozwa na nguvu mbili hasi na chanya spiritual

Na hasi spiritual ndio imedominate the World in other word you can say evils

Politics ndio baba mzazi msimamizi wa hapa duniani..kwani hakiwezi fanyika chochote chini ya jua bila Politics kuingilia

Kwa maana hio Politics na nguvu hasi ni ngumu kuitenganisha


N:B ndio maana mambo mentioned mazuri duniani tumefichwa tumeachiwa haya ya ovyo ili tuwe dhaifu ki nafsi

Na nafsi ikiwa dhaifu mwili hautosalimika
 
Na tumemuambia Mushrooms ni njia ya shortcut tu..lakini njia nyingine pia ni meditation lakini kuna wengine hupitia hii njia kwa ulazima hasa pale anapo fiwa na mtu wa karibu aidha mke ama mtoto..Ego hufa automatic bila mjadala...means imeshindwa kuhandle hayo magumu ya kufiwa.

Njia nyingine kuna wachache wamebarikiwa,ego hufa tu bila sababu.

Nb.Ego death siyo tatzo..the problem ni path utakayo pitia yenye hayo magumu. Hapo ndipo elimu inahitajika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…