Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
em nipe elimu mkuu
hii kitu inafaida zipi ambazo zimeleta mafanikio kwako binafsi ukilinganisha na hao matajiri uliotaja
Faida nyingi sana kuliko hasara, ukilinganisha na vilevi vingine!

  • inaongeza ujasiri na kujiamini kupita maelezo
  • inaongeza ubunifu na namna ya tafakari
Na vingine viiiingi ila bahati mbaya hizo faida zinatokana na uwezo wa kichwa chako, kama bichwa lako ndimu hasara zitakua nyingi zaidi

Sijui nikupe mfano gani!

Tuchukulie movie ya zamani kidogo, THE MASK, tu assume kile kinyago ndio ganja, sasa kila character anae kivaa kina mbadilisha ila ni kulingana na yeye jinsi alivyo,

kama ni mtu mwenye fikra ovu basi itazidisha huo uovu mara nyingi zaidi kwa nyanja zote ( ujasiri, kujiamini na ubunifu )

kama utakua ni mtu mwema basi itazidisha huo wema mara nyingi zaidi kwa nyanja zote

Kama ni mchekeshaji basi itazidisha huo ucheshi kwa nyanja zote

Kama ni mzembe itafanya hivyo hivyo maradufu

Kama ni mtu katili basi usipime huo ukatili utakao upata mpaka wewe mwenyewe utajiogopa

Jitathimini kwanza kabla hujaitumia
 
dah nimekupata mkuu
 
What is that shit [emoji2320]? Msiba wa mwaka juzi? [emoji24][emoji137][emoji137][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ndiyo hivyo Case closed, Ni drug addiction [emoji91][emoji91]
 
Vipi kuhusu bharath beedies?
 
Vipi kuhusu bharath beedies?
Hizi sijawahi tumia wala kuziona popote mpaka hivi ninapoona comment yako! Nimeacha kuvuta sigara mda kidogo

Nimeona Tangazo la TMDA kuhusu hiyo kitu pia kuna mwamba anaruka nazo huko fesibuku
 
Kumbe ni huduma hata vijijini ipo, sasa mbona unaidis
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…