Sio dermon tunasema hallucinationsMsiguse hii kitu.
Huenda ndiyo tunda lenyewe la mti wa katikati.
Ina alter consciousness, na inaweza kuinvite demons wakakuvagaa, wakawa wanakuletea vision za kukupotosha huku ukidhani umeugundua ukweli( reality)
Tupo pamoja[emoji28]Psychedelic drugs.
Kifanya nimeishi pale mtaa wa mapera hebu nielekeze vzr week hii nataka niende nikamsalimie bibi semayembaHii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
[emoji23]Hii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
Tutumie mkuu kwa njia ya pdfSomeni hicho kitabu kama ukibahatika kukipata kwa nchi uliopo View attachment 2524545View attachment 2524546
Wote fungus hawa... Au ndo ile kuna wazuri na wabaya ktk matumiz๐๐๐
Sio kweli, inategemea na kichwa cha mtu, kuna mtu anakunywa kreti nzima ya bia je wewe au mimi naweza? Au utasema hizo bia zilikuwa mbovu.Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!
Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!
Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
๐๐ mpaka shetan anashangaa.Wanadamu buana...
Yaani mtu anakula au anakunywa kitu ili a paralyse mfumo wake wa fahamu...
Basi kwa maneno yako unamaanisha hata huo ukristo, uislam etc.. ni ushirikina, sio?
Isije kuwa zinatokea Colombia au Jamaica ๐คHello bosses...
Mada za kikubwa watoto wakiwa wamelala
Kuna mzigo unaiitwa magic mushrooms au tuziite shrooms, zinatumiwa kwa mambo ya kiroho na kujiliwaza pia. Ni kama weed kwa baadhi ya watu.
Kwa wale wanaofanya deep meditation pia baadhi wanazitumia kufanya tripping(huko unaweza kutana na wewe mwenyewe, au ukaona vitu fln vya kushangaza ulivopitia anyway sio story ya leo hii).
Je hapa Tanzania zinaruhusiwa? Na zinapatikana wapi kama zinaruhusiwa?
Nitumie pdf mkuu, siamini kama nakosa hii kitu kwenye library yanguSomeni hicho kitabu kama ukibahatika kukipata kwa nchi uliopo View attachment 2524545View attachment 2524546
Ukila hovyo mtakula sumu aisee.Wote fungus hawa... Au ndo ile kuna wazuri na wabaya ktk matumiz๐๐๐
Weed cha mtoto kwa shroomsWeed pia ina magic au sielewi kitu??....
Dah!..kwa hiyo ni ushirikina sio ?Msiguse hii kitu.
Huenda ndiyo tunda lenyewe la mti wa katikati.
Ina alter consciousness, na inaweza kuinvite demons wakakuvagaa, wakawa wanakuletea vision za kukupotosha huku ukidhani umeugundua ukweli( reality)