Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri wanatumia vifungu kama s.89 & 384 Penal Code ambavyo havihusiani na hoja ya msingi.
Huu ni ukiukwaji wa wazi wa Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba inayolinda right to be heard na usawa mbele ya sheria.
Kwa unyenyekevu mkubwa: Haki si upendeleo wa dola, ni haki ya kikatiba.
Huu ni ukiukwaji wa wazi wa Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba inayolinda right to be heard na usawa mbele ya sheria.
Kwa unyenyekevu mkubwa: Haki si upendeleo wa dola, ni haki ya kikatiba.