Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Kazi imeanza
 
Something is cooking 🍳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
Nadhani aliyoyasema RC Chalamila alipokuwa Kagera yalikuwa na ukweli !
Lakini pia inawezekana imeonekana Chaguzi zinazokuja ni lazima watembelee nyota ya Mwendazake !!
Time will tell !
 
Na huo ndio ukweli !
 
Kikwete & Co wametumia akili kubwa
 
Binafsis
Binafsi CCM ilianza kunitoka moyoni baada ya kifo Cha magufuli na yale matamshi ya Nape kuwa CCM inawenyewe.
 
Hapana. Huyu ni mtu muungwana, hataki kulipa kisasi. Jukumu lake ni kuendesha nchi ila kila mtu ajihisi ni sehemu ya taifa hili. Tunatakiwa tukfanyiwa ubaya sisi tulipe wema.
Kama lengo ni kuleta umoja, mbona Makonda anawazodoa wale wa kundi lingine?
 
Ok. Huyu Bashite bila shaka ni miongoni japo publicly anajifanya yuko kwa jiwe

..pale kaburini kaenda kumtafutia Maza kura.

..sasa hivi Bashite ataenda kuwapiga kampeni Nape na January watu ambao alikuwa akiwadukua kipindi Jiwe yuko madarakani.
 
Hakuna aliyemuweka Samia pale zaidi ya Katiba acha kupoteza muda….
 
Mkuu, nina mawazo tofauti kidogo na haya.

Wapo watu walioonekana ni miamba sana kwenye kudhibiti kundi la wezi, wabadhirifu na mafisadi, ambalo kundi hilo lina uenyekiti wa Msoga clan. Inaonekana Msoga clan ili-mobilize potentials wote wa michezo michafu kisiasa na kwenye mali za umma.

Sasa, kudhibiti moves zao na kuhakikisha M/kiti wao anaendelea kuwa na nguvu hata kama hana dola tena, kumbuka haya;
  • Kuondolewa kwa Mkapa kwenye shughuli za kichama na kitaifa(baraza la wazee likaundwa)
  • Kuondolewa kwa akina Mangula, ikasaidia kupitishwa kwa mgombea wao enzi zile.

Uchaguzi wa pili wa chama, watu walishajipanga kumpiga chini mwenyekiti, mbinu ya kura za wazi ikatumika ukumbini...Ahmada akiwa chakari siku hio
  • Mangula akarudishwa kumdhibiti Mzee wa Loliondo, hii ni baada ya kuona Msoga clan haitaweza, kwanza ni wa kwao, anawajua vizuri, pili hawana usafi huo na tatu, walishammwaga kwenye UTENDAJI MKUU.
  • Mangula akarudishwa, azuie mwana clan huyo aliyeonekana msaliti, na hasa baada ya kuwa na Jasusi aliyesaidia kuchora ramani ya M/kiti kuingia magogoni sio?

Stori ijajirudia katika kuwadhibiti akina Membe, mambo yalipoonekana kugonga mwamba, Ben akatumia sauti ya mamlaka kuwadhibiti wote(Msoga clan na waasi wao), na usukani akapatiwa Jiwe.

Jiwe akarudisha timu against Msoga kwenye wheel, kisha akaanza kukata mizizi iliyoshindikana kwenye chama na kuhakikisha ile CHAMA KINA WENYEWE, inakufilia mbali. Kelele zikawa nyingi, akaanza kupewa majina mabaya ILI lile neno litimie, UKITAKA KUMUUA PAKA, MPE JINA BAYA(Paka shume, Jizi la mboga n.k)

Bi Tozo, akdhani atapendwa kurudisha Msoga clan usukanini, lakini sasa amegundua, ndani ya Msoga hakuna u-loyal, ni USULTANI, kama hujawahi kuwa na jina, huwezi kutoboa; zaidi ni ubinafsi mkubwa ambao haumpi nafasi ya kutoboa ila kupingwa zaidi.

Unadhani ni timu gani ilionesha utii kwa kiongozi wao bila unafiki?
- Kiongozi hayupo, wao bado wapo upande ule ule.

Haudhani kuwa kinachofanyika sasa ni kutaka kutumia mbinu ile ile ya kudhibiti Msoga clan kwa kutumia Sukuma gang?
- Hauhisi kuwa ni ubinafsi wa bi tozo kutaka kuwatumia na kuwamwaga baada tu ya kuapishwa tena?


Mwisho, mtu mmoja, kwa mujibu wa katiba, anaruhusiwa kushika vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama raisi wa nchi.
  • Mgombea na Mgombea mwenza, wote ni wagombea na wanabanwa na sheria hiyo?
  • Makamu wa raisi akijiuzulu, raisi atabaki madarakani?

Kama raisi na makamu wake wanachaguliwa kwa pamoja, wote wana serve term mbili tu.
  • Bi tozo keshamaliza term moja akiwa makamu
  • Bi tozo anamalizia term ya pili kwa capacity ya uraisi kamili.

Bi tozo anaruhusiwa kugombea term ya tatu tena?

Katiba inasemaje kuhusu hilo?
 
Ok. Huyu Bashite bila shaka ni miongoni japo publicly anajifanya yuko kwa jiwe
Hawa Vijana wanaangalia upepo unavuma wapi , ukielekea kusini na wenyewe wanaelekea kusini. Hawa bado wachanga kisiasa, battle za makundi zitazima ndoto zao kisiasa. So inabidi kubadilika tu Kama kinyonga.
 
Hakuna aliyemuweka Samia pale zaidi ya Katiba acha kupoteza muda….
Katiba kitu gani bwana
? Hata mama juzi juzi kasema katiba ni kijitabu tu.

Wahuni walipanga kukanyaga katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…