Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

_Hicho kitabu alichokiacha Yesu, yeye ndo aliandika au Nani?
_Kuna nakala yoyote iliyobaki ipo hadi sasa?
 
umeelewa nilichoandika?waliopewa mitume wengi ni wayahud.mungu alipoona wanawakataa.ndipo akahamisha utume kwenda kwa waarabu.hata wao wayahud walishangaa haya maamuz.ila mafundisho ya muhammad ndo mafundisho ya mitume wote na manabii waliopita
Unaushahidi wowote kuwa wayahudi wote walitakaa.
Wayahudi qu waisrael hawajaanza kumkataa Mungu wakati wa Yesu.
Hata wakati wa Musa waliwahi kumkataa Mungu wote isipokuwa Yoshua na Karebu. Na waarabu walikuwepo pembeni hakuwafuata. Hii ni kiama zaidi ya 2500 kabla ya uislam wa uarabuni.

Yesu hadi amekufa. Alikuwa na wafuasi wayahudi wanaompenda na kumfuata zaidi ya 120, waliosambaa dunia nzima kueleza habari zake.
Sasa ni lini Yesu alikataliwa na wayahudi wate hadi Mungu apeleke habari zake kwa mwarabu miaka 500 baadae.
 
ili mtu awe na ukoo ni lazma awe na baba.haujui hlo?
yaan n hv issa bini mariam wa kwenye quruan hana ukoo ilihali YESU KRISTO wa kwenye biblia ana ukoo wa mama na baba ambao unarudi mpaka kwa adam......sasa kama issa hana baba aliyemzalisha ni nani??
 
waliomuua yesu ni nani kama sio wayahudi
 
Kwa mujibu wa waislam wenyewe wanasema Issa ndio Yesu. Hivyo swali liliulizwa kwa mujibu wa waislam.

Lakini pia isa ni ligha tu sio dini.
Issa cha jina Yesu. Kama ilivyo.
Yahaya ndio Yohana.
Yakub ndio yakobo.
Israel kuwa ndiyo Yesu ni Lugha gani hiyo? Nieleweshe bwana mkubwa nijue Issa kwenda Yesu.
 
yaan n hv issa bini mariam wa kwenye quruan hana ukoo ilihali YESU KRISTO wa kwenye biblia ana ukoo wa mama na baba ambao unarudi mpaka kwa adam......sasa kama issa hana baba aliyemzalisha ni nani??
ebu nitajie ukoo wa yesu kwa baba yake.au taja jina la baba yake
 
Walikuwa mitume wa "mwenyezi mungu" gani? Huyo Mwenyezimungu wa Mutumw wa wayahudi Anaitwa Nani? Jina lake ni nani?
 
Jesuit imeanzishwa lini na mtume kafariki lini!?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…