Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

1. Kwanini biblia itaje na kuandika stori zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiyaudi ambavyo vilikuwepo miaka zaidi ya 2000 ?

2. Unaweza kunitajia Hud , qaarun, idrisa, samiry, dhurqalnain, luqman, haman, swaleh ,abraha, dhu nuwas, uzair, zayd bin haritha na wengineo wengi waliotajwa kwenye quran wanapatika ukurasa upi wa kwenye biblia?

3. Labda nikwambie ukweli mchungu ambao ninyi wakristo hamuutaki na ndo reality hamuwezi kuibadili hauwezi kufanya mchana kuwa usiku kwa kufumba macho , ni hivi isa bin maryam(peace be upon him) mnayemwita yesu alikuwa ni mtu na mtume wa Allah( the almighty) na alipewa kitabu cha injil ambacho kina ujumbe wa tawhid na sheria mpya za Allah(the almighty) kwa wana wa israel ila waliomwamini ni wachache na majority ya waisrael wakataka kumwua hivyo Allah(the almighty) akamuepusha na njama zao na akamuhifadhi mpaka muda maalum atarudi ikiwa ni ishara ya siku za mwishi atamalizia umri wake duniani ataoa atakufa atazikwa karibu na mtume muhammad ( peace be upon him) .

Sasa alivyoondoshwa na kuhifadhiwa na Allah( the almighty) aliacha kitabu cha mwenyezi mungu (injil) ambapo walibakia nacho wale walioamini ikiwa ni pamoja na swahaba zake (hawariyun)miaka ilivyokwenda waisrael wakawa wana ki edit kwa kuondoa baadhi ya makatazo na amri na kuweka za kwao mwisho wa siku wakaja watu kama wakina paulo wakaanzisha ukristo warumi waka adopt dini hii mpya wakaendelea pale waliopoishia wayahudi kwa kuongeza maneno yao kwenye hichi kitabu kipya cha biblia wakatengeneza dini mpya ya mseto yenye mafundisho ya kipagani na baadhi ya kiyahudi wakapata Roman catholic.

Masahihisho
Isa bin maryam(peace be upon him) alikuwepo miaka 560 kabla ya kuzaliwa kipenzi cha Allah ( the almighty ) bwana mtume muhammad (peace be upon him).
_Hicho kitabu alichokiacha Yesu, yeye ndo aliandika au Nani?
_Kuna nakala yoyote iliyobaki ipo hadi sasa?
 
umeelewa nilichoandika?waliopewa mitume wengi ni wayahud.mungu alipoona wanawakataa.ndipo akahamisha utume kwenda kwa waarabu.hata wao wayahud walishangaa haya maamuz.ila mafundisho ya muhammad ndo mafundisho ya mitume wote na manabii waliopita
Unaushahidi wowote kuwa wayahudi wote walitakaa.
Wayahudi qu waisrael hawajaanza kumkataa Mungu wakati wa Yesu.
Hata wakati wa Musa waliwahi kumkataa Mungu wote isipokuwa Yoshua na Karebu. Na waarabu walikuwepo pembeni hakuwafuata. Hii ni kiama zaidi ya 2500 kabla ya uislam wa uarabuni.

Yesu hadi amekufa. Alikuwa na wafuasi wayahudi wanaompenda na kumfuata zaidi ya 120, waliosambaa dunia nzima kueleza habari zake.
Sasa ni lini Yesu alikataliwa na wayahudi wate hadi Mungu apeleke habari zake kwa mwarabu miaka 500 baadae.
 
ili mtu awe na ukoo ni lazma awe na baba.haujui hlo?
yaan n hv issa bini mariam wa kwenye quruan hana ukoo ilihali YESU KRISTO wa kwenye biblia ana ukoo wa mama na baba ambao unarudi mpaka kwa adam......sasa kama issa hana baba aliyemzalisha ni nani??
 
Unaushahidi wowote kuwa wayahudi wote walitakaa.
Wayahudi qu waisrael hawajaanza kumkataa Mungu wakati wa Yesu.
Hata wakati wa Musa waliwahi kumkataa Mungu wote isipokuwa Yoshua na Karebu. Na waarabu walikuwepo pembeni hakuwafuata. Hii ni kiama zaidi ya 2500 kabla ya uislam wa uarabuni.

Yesu hadi amekufa. Alikuwa na wafuasi wayahudi wanaompenda na kumfuata zaidi ya 120, waliosambaa dunia nzima kueleza habari zake.
Sasa ni lini Yesu alikataliwa na wayahudi wate hadi Mungu apeleke habari zake kwa mwarabu miaka 500 baadae.
waliomuua yesu ni nani kama sio wayahudi
 
Kwa mujibu wa waislam wenyewe wanasema Issa ndio Yesu. Hivyo swali liliulizwa kwa mujibu wa waislam.

Lakini pia isa ni ligha tu sio dini.
Issa cha jina Yesu. Kama ilivyo.
Yahaya ndio Yohana.
Yakub ndio yakobo.
Israel kuwa ndiyo Yesu ni Lugha gani hiyo? Nieleweshe bwana mkubwa nijue Issa kwenda Yesu.
 
yaan n hv issa bini mariam wa kwenye quruan hana ukoo ilihali YESU KRISTO wa kwenye biblia ana ukoo wa mama na baba ambao unarudi mpaka kwa adam......sasa kama issa hana baba aliyemzalisha ni nani??
ebu nitajie ukoo wa yesu kwa baba yake.au taja jina la baba yake
 
Ndio kuna ufanano na sababu ni kwamba walikuwa mitume wa mwenyezi Mungu nasio wa dini fulani.

Kuweka mambo sawa hakuepo mtume mwenye dini na kama yupo mtaje(japo sidhani kama atakuwa katoka kwa Mungu)

Mwenyezi Mungu aliwapa mitume wake ujumbe na sio dini.Ujumbe wao uliunganishwa badae na kutengeneza vitabu ambavyo ni biblia na Quran(japo katika uislam kunaweza kuwa na maelezo tofauti na yangu jinsi gani Quran ilipatikana)

Kama kuna mtume alisema ana dini basi tafsiri ya dini inaweza kuwa tofauti na sisi tujuavyo(Mungu anajua zaidi).Mtume atasemwa kuwa dini fulani kwa sababu tu aliishi hapa duniani ambako hizi dini ni mahali pake.
Walikuwa mitume wa "mwenyezi mungu" gani? Huyo Mwenyezimungu wa Mutumw wa wayahudi Anaitwa Nani? Jina lake ni nani?
 
Mtakalaga baho....

1694448593481.png

1694448683008.png

1694448708093.png
 
Wapo wanazuoni wanadai Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
dini zote Dunia ni branch ya ukatoliki ikiwemo uislam.Ndo maana ya church and churches.
Jesuit imeanzishwa lini na mtume kafariki lini!?..
 
Back
Top Bottom