matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #81
Nasoma biblia ya kiswahili( suv).Kwanza hongera sana, mada ni nzuri sana, nimeipenda kwani itatuongezea ufahamu wa vitabu vyetu vya kiimami.
Tuanze hapo kwenye utangulizi wako, ili tuelewane vizuri. Nna maswali kidogo yaliyojenga kuelimishana, sisi na wanaotusoma:
Biblia ipi unayoisoma, ya lugha gani? Na iliandikwa lini?
Mimi nasoma Qur'an ya Kiarabu na tafsiri yake Kingereza lakini hapa ntatumia Qur'an yenye tafsiri ya Kiswahili ya Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani ambayo nakuwekea link hapa chini:
Wewe ndugu yangu, umeisoma au unaisoma Qur'an?
Bofya maandishi ya bluu kujisome Qur'an ninayoisoma mimi: Qur'ani Tukufu
Kuhusu Biblia, kwa kuwa zipo aina nyingi sana, naisoma kutegemea na maudhui, iwe ya Kiarabu, Kingereza, Kiswahili au kwa lugha zingine kwa msaada wa teknolojia.
Ninasoma Msaafu wa kiswahili (Tafsiri ya barwan)
Tafsiri au matoleo mengine yote ya biblia na quran kwa lugha zozote zile huwa natumia kama reference ili kutanua ufahamu.
Ila tukirudi kwenye mada. Visa na majina yanayozungumziwa yanapatikana katika version na tafsiri zote za biblia na quran.
Karibu sana mkuu.