Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

sidhan kama hawa ni real people, nna wasiwasi na harakati znazofanyika!
Nasikitika kuwa vyombo vyote vya habari maarufu duniani vimelidaka Jambo hili saa hizi tunatrend kote duniani mtu kupingwa na watu wake Ila sababu tu ndio zinazotia aibu!
 
Chadema imejaa utoto mwingi. Kama kinahitajika chama mbadala, kinachoweza shika madaraka baada ya CCM, tuandae chama, kingine. Chadema si chama sahihi
 
Kusaini petition sio kugonga like mwanangu,Kama hujui hiyo petition no Kati ya petition 4 zinazo trend duniani,imeushitua ulimwengu huenda Diamond akawa mtanzania maarufu zaidi duniani
Hoja ni kwamba anafatitiliwa na watu wengi sana. Hiyo 25000 ni watu na milioni 10 ni watu pia sasa 25000 wakikukataa wakati unakubalika na watu m. 10 huoni kama ni move ya kutafuta sehemu ya kutolea machungu. Kusaini kuna ugumu gani?
 
Katika lugha rahisi ni kwamba Diamond alichagua Pesa na sio utu.
 
Sio mbaya akaendela na biashara zake Kama ulivyotujuza.aachane na hizi tuzo .
 
We jamaa una Akili nyingi Sana.
 
Kadanganye Mabwege Wenzako.
Nyambafu.Aliyekuambia kuwa CCM Ni lazima uwe Kiongozi Ni Nani!!!???
 
Chadema imejaa utoto mwingi. Kama kinahitajika chama mbadala, kinachoweza shika madaraka baada ya CCM, tuandae chama, kingine. Chadema si chama sahihi
Na wengi wao ni wapumbavu waliojaa hasira kutokana na kukosa vya bure au kufikiria kuwa Kuna ambaye atawapa vya bure
 
Binafsi naona ni UJINGA uliopitiliza,
Kenye west alikuwa ni mshirika wa Trump lkn wamerekani waliokuwa democrat na vyama vyengine still walimpenda kenye west
Siyo ujinga ni upumbavu uliopitiliza
 
Diamond ni mwanamziki na anafanya Kazi ya mziki, hizo haki watazisimamia wengine.
 
Mtu anaefuata haki kwa masilahi ya taifa ni mzuri kuliko yule anaefata kwa masilahi yake mweyewe.

Mond kafuata masilahi yake bila kujali position yake kama kioo cha jamii katika taifa
Mond alikuwa sahihi kuchagua upande anaoupenda. Huwezi kulazimisha unachoona ni sahihi KWAKO na kwa wengine ni sahihi
 
Diamond aliona hayati Magufuli anastahili kuchagulia ndo maana kampigia kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…