Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

Hon. Hakainde Hichilema tungempata huku kwetu na hizi rasmali zote tulizo nazo tungekuwa mbali, achana na huyu anayewasogeza na kuwakumbatia mafisadi na kuwasahau wananchi wa hali ya chini.

Juzi naona Hon. Paul Kagame kaenda kumtembelea na watasaini mikataba zaidi ya nane kwa manufaa ya nchi zao.

Yaani mpaka Hon. Paul Kagame ameenda kumtembelea jua ya kwamba Hon. Hakainde ni level nyingine kwenye kutumia akili yake aliyojaliwa na Mungu, huyu wetu kutwa nzima kushinda kwenye vioo kupaka picco.
Awamu hii ya tano "B" tutamaliza tukiwa tumechoka sana
 
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.

Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.

Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?

Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Magufuli angeweza ila huyu msaidizi wa JK sidhani na hana hiyo dalili
 
Kulipwa Posho nyingi ni Ufisadi? Kwani hizo Posho anazolipwa hazipo Kisheria? Na je, amejitungia Yeye? Posho huwa zinazidi Mishahara?

Jamani sometimes tujaribu kutumia vyema Akili zetu tulizopewa bure na Mwenyezi Mungu kwa Kufikiri vyema tuwapo hapa Jamiiforums sawa?
Hivi unashangaa posho kuzidi mshara kwa mwezi?Au ndio hutumii vema akili zako ulizopewa bure na Mwenyezi Mungu?
Hivi unataka kuniambia Jakaya aliesafiri nje mara nyingi mshahara wake utakua mkubwa kuliko posho kwa mwezi?
 
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.

Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.

Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?

Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Mwendazake vipi
 
Huyu ni kweli kiongozi. Jamaa ni mnyenyekevu sana. Namuonaga kule FB kwenye akaunti yake. Ni mnyenyekevu na mpole wa Moyo. Mungu amsaidie kwa kweli. He is humble Guy.
 
nadhani atakuwa tajiri sawa na akina Lowassa wa 2015
 
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.

Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.

Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?

Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Huyu ni mfanyabiashara mkubwa sana Zambia pia na Ukwasi wakutosha... Miaka yote anagombea Urais lengo lake kubwa kuja kuwaletea wananchi maendeleo na sio kuiba.. Msabato ayeiva na Mzalendo kwelikweli.......
 
Hon. Hakainde Hichilema tungempata huku kwetu na hizi rasmali zote tulizo nazo tungekuwa mbali, achana na huyu anayewasogeza na kuwakumbatia mafisadi na kuwasahau wananchi wa hali ya chini.

Juzi naona Hon. Paul Kagame kaenda kumtembelea na watasaini mikataba zaidi ya nane kwa manufaa ya nchi zao.

Yaani mpaka Hon. Paul Kagame ameenda kumtembelea jua ya kwamba Hon. Hakainde ni level nyingine kwenye kutumia akili yake aliyojaliwa na Mungu, huyu wetu kutwa nzima kushinda kwenye vioo kupaka picco.
Tufanye nao mazungumzo watupe sisi nasi tuwape huyu
 
Hon. Hakainde Hichilema tungempata huku kwetu na hizi rasmali zote tulizo nazo tungekuwa mbali, achana na huyu anayewasogeza na kuwakumbatia mafisadi na kuwasahau wananchi wa hali ya chini.

Juzi naona Hon. Paul Kagame kaenda kumtembelea na watasaini mikataba zaidi ya nane kwa manufaa ya nchi zao.

Yaani mpaka Hon. Paul Kagame ameenda kumtembelea jua ya kwamba Hon. Hakainde ni level nyingine kwenye kutumia akili yake aliyojaliwa na Mungu, huyu wetu kutwa nzima kushinda kwenye vioo kupaka picco.
I hate Kagam, coz n miongoni mwa waizi wa Mali za Drc
 
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.

Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.

Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?

Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Hata hapa kwetu wanaweza tu kwani marupurupu na posho zinathamani kubwa kuliko hata huo mshahara wenyewe. Kwa hali ya sasa basically mtu mzima mmoja anaweza kutumia kati ya laki na nusu mpaka laki mbili kwa mwezi mzima kutimiza milo ya siku.

Thats in accordance with the basics of living in a common society bila anasa zozote.

Sasa mtu anayelipwa more than 10 millions + allowances zinazofikia 20 millions kama ni kula + anasa mbona ni hela nyingi tu ya kumtosha. Hata akiacha mshahara kuna laki 2 ngapi kwenye 20 millions???
 
Muda huo huo hapa nyumbani

Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.

Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.

Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.

Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.

Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.

Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.

Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.

Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??

Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii??

Aisee! Hata wewe unaishangaa serikali iliyoundwa na CCM?!
 
Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.

Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.

Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?

Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Mshahara wake ni asilimia ngapi ya matumizi ya serikali kwa mwaka?
 
Watanzania katika ubora wa unafiki wao kila raisi hamumtaki mnataka aje malaika akitokea wa hvyo anapigwa vita na raia wake ili Tanzania iendelee inabidi kuna kizazi kipotee kwanza maana kina amini ujinga kuliko ualisia.
 
Back
Top Bottom