Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

Awamu hii ya tano "B" tutamaliza tukiwa tumechoka sana
 
Magufuli angeweza ila huyu msaidizi wa JK sidhani na hana hiyo dalili
 
Hivi unashangaa posho kuzidi mshara kwa mwezi?Au ndio hutumii vema akili zako ulizopewa bure na Mwenyezi Mungu?
Hivi unataka kuniambia Jakaya aliesafiri nje mara nyingi mshahara wake utakua mkubwa kuliko posho kwa mwezi?
 
Mwendazake vipi
 
Huyu ni kweli kiongozi. Jamaa ni mnyenyekevu sana. Namuonaga kule FB kwenye akaunti yake. Ni mnyenyekevu na mpole wa Moyo. Mungu amsaidie kwa kweli. He is humble Guy.
 
nadhani atakuwa tajiri sawa na akina Lowassa wa 2015
 
Kwa Posho au hili ulikuwa hulijui Mkuu?
Huyu Rais wa Zambia alikwisha tengeneza fedha nyingi hivyo hakuwa masikini alipoingia Ikulu ; ndio maana haja chukua mshahara toka aingie Ikulu!
 
Huyu ni mfanyabiashara mkubwa sana Zambia pia na Ukwasi wakutosha... Miaka yote anagombea Urais lengo lake kubwa kuja kuwaletea wananchi maendeleo na sio kuiba.. Msabato ayeiva na Mzalendo kwelikweli.......
 
Tufanye nao mazungumzo watupe sisi nasi tuwape huyu
 
I hate Kagam, coz n miongoni mwa waizi wa Mali za Drc
 
Hata hapa kwetu wanaweza tu kwani marupurupu na posho zinathamani kubwa kuliko hata huo mshahara wenyewe. Kwa hali ya sasa basically mtu mzima mmoja anaweza kutumia kati ya laki na nusu mpaka laki mbili kwa mwezi mzima kutimiza milo ya siku.

Thats in accordance with the basics of living in a common society bila anasa zozote.

Sasa mtu anayelipwa more than 10 millions + allowances zinazofikia 20 millions kama ni kula + anasa mbona ni hela nyingi tu ya kumtosha. Hata akiacha mshahara kuna laki 2 ngapi kwenye 20 millions???
 

Aisee! Hata wewe unaishangaa serikali iliyoundwa na CCM?!
 
Mshahara wake ni asilimia ngapi ya matumizi ya serikali kwa mwaka?
 
Watanzania katika ubora wa unafiki wao kila raisi hamumtaki mnataka aje malaika akitokea wa hvyo anapigwa vita na raia wake ili Tanzania iendelee inabidi kuna kizazi kipotee kwanza maana kina amini ujinga kuliko ualisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…