Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Hiv mishahara ni nini Kwa Rais Ndugu, hta asipolipwa anaweza kujichotea pesa atakavyo tena Kwa nchi za kiafrika, ambapo Htuna mifumo Thabiti. Bora achukue hpo Ndo analeta maswali mengi.Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?
Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Hata ukitaka papuchi unaletewa huifati ilipoKama hujui ukiwa raisi hadi chupi unanunuliwa we ni hatari kabisa
Mkuu haujui!Najua, ila tafsiri yake analipwa posho nyingi kuliko mshahara na huo ni ufisadi.
Huyu si ndiye mfanya biashara?Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.
Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii.
Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu wa Kizalendo kabisa kama alionao huyu Rais wa Zambia?
Kuna Mmoja tu ninamjua asingekubali.
Posho zinatoka wapi, kama sio kodi? Ndio kusema kaamua kuwapunguzia mzigo raia wake? Sioni kama ni uzalendo, ni uamuzi tu.Kwa Posho au hili ulikuwa hulijui Mkuu?
Hakuna mwingine ni yeye.Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani.