Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.
Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?
Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.
Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.
Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.