Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

Mali gani za Kimambi zimeny’a ng’anywa? Mbona mama yake wa kambo Mange na ndugu zake wapo bongo wanadunda !
aliwahi kuandika X kama sikosei kuwa account zake za TZ zilikuwa suspended zikiwa na zaidi ya 100m pia kuna hotel ya familia nadhani mbezi beach ilizuiwa ikidaiwa kuwa haijalipa kodi mda mrefu (nadhani kitu kama hicho maana nilisoma mda kidogo)
 
Kama ana uhalifu alifanya Sheria lazima ichukue mkondo.
Kwani Kuna wakosoaji wangapi na tunawaona uraiani tu
 
aliwahi kuandika X kama sikosei kuwa account zake za TZ zilikuwa suspended zikiwa na zaidi ya 100m pia kuna hotel ya familia nadhani mbezi beach ilizuiwa ikidaiwa kuwa haijalipa kodi mda mrefu (nadhani kitu kama hicho maana nilisoma mda kidogo)
Sijui Habari za bank account zake lakini Tiger Motel bado ipo na watu wanafanya biashara!
 
sawa nimekupata early this year aliweka article moja ndefu kule X akizungumzia hilo hadi kukutana na abdul us.
 
Tofauti za Maria na baba yake zinawezaje kuzuia baba yake hasipewe mazishi ya kitaifa kama waziri mstaafu wa serikali ya awamu ya 3 na 4
Ccm hacheni chuki mnaharibu hii nchi ya Amani
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.

Kuikosoa Serikali siyo uhalifu, kuikosoa Serikali siyo uhaini. Maria Sarungi siyo mhalifu na kamwe hawezi kuwa mhalifu kwa Kitendo cha yeye kuikosoa Serikali iliyopo madarakani. Maria Sarungi ni mzalendo kwa Nchi yake, ndio maana unaona kwamba amekuwa akitoa maoni yake kinzani pale anapoona Watawala waliopo hawafanyi Kama vile inavyopaaswa.
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.
Nimepitia kidogo account za wakubwa wa sirikali ya CCM sijaona pole hata moja. Halafu eti tunadai tupo mwezi mtukufu/Kwaresma. Binafsi nilitambuaga kitambo tu , haya mambo ya imani sisi waafrika tunafanya kama maigizo ya Mhogomchungu.
 
Atakuna akimaliza anakimbilia ubarozini ubarozi unamsindikiza mpaka airport anayeya

Hamna la kumfanya
 
Mange aliwahi kulalamika kuwa hadi mali za familia zimenyang'anywa kwa sababu ya yeye kutofautiana na serikali
Makonda ni RC wa ARUSHA, MUSIBA yupo uraiyan na Sabaya yupo nje na baba yake ni mkiti wa ccm Arusha
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.
Nini Maria ata Mange anaweza kuja kuzika
 
Back
Top Bottom