Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

Shangazi Maria Pole sana kwa msiba mzito, Mungu akutie nguvu mama pamoja na familia yote.
Mungu amjaalie pumziko njema Profesa Philemon Sarungi.
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.
Akija TZ lazima waruke naye ni bora ashiriki online tu.
 
Kama hawakumpa support kwa sababu ya ukosoaji wa binti yake basi viongozi hatuna. Utamhukumuje baba kwa kuwa na mawazo tofauti na mtoto wake?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hakuna mtu anaemtafuta Maria labda kama aligombana na majirani zake sawa, ila kwa upande wa serekali kama wangekua wanamtafuta hata hapo Nairobi anapoishi siyo sehemu salama kwake wangeshampata tu
Si walienda juzi na wakamshindwa?
 
Basi uache upotoshaji unaoufanya kama unayajua hayo kuwafanyia wengine.
gentleman,
hayati Mzee Philemon pamoja na mdogo wake alieaga dunia huko kanda ya ziwa watazikwa kwa salama na amani bila mbambamba za kibaraka yeyeyote wa mabwenyenye ya magharibi kuleta umbea wake msibani 🐒
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.
Kama sehemu ya elimu ya uraia ungesaidia kuelimisha namna ya kuikosoa serikali kwa laughs oligosacharydy na stara, tofauti na anavyofanya Maria
 
Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.

Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo?

Nauliza kwa sababu hadi muda huu hakuna kiongozi wa Serikali aliyetoa pole kwa familia hii adharani au kuandika kwenye mitandao ya kijamii.

Tukumbuke Prof Sarungi ni kiongozi mahiri na mwana CCM ila miaka ya hivi karibuni amekosa support kutokana na namna binti yake anavyoikosoa Serikali tena akitumia lugha isiyo na stara.

Pole familia ya Prof Sarungi kwa msiba huu mkubwa.

Huyu ni mtu ambaye hana hata kesi lakini bado mnasema Tanzania ni salama.
 
gentleman,
hayati Mzee Philemon pamoja na mdogo wake alieaga dunia huko kanda ya ziwa watazikwa kwa salama na amani bila mbambamba za kibaraka yeyeyote wa mabwenyenye ya magharibi kuleta umbea wake msibani 🐒
Lakini mnatakiwa kujiuliza kwanini watu wanaogopa wakati hawana hata kesi!. Kama hamuoni hilo ni tatizo basi matatizo yako kwenu. Nyani haoni kundule
 
Gentleman,
kila mtu inafaa aubebe msalaba aliojitengenezea mwenyewe, kujistukia sio tatizo la wengine ni lako mwenyewe,

hakuna haja ya kubabaika na umbea wa mwingine msibani. Mtu amefariki, anazikwa na maisha mengine yanaendelea, hakunaga mbambamba ya matazito binafsi ya mtu mwingine kujadiliwa msibani kwa mwingine 🐒
 
TUMCHANGIE MARIA SARUNGI NAULI KUJA KUMZIKA BABA YAKE

Machi 06, 2025 tumesikia habari za msiba wa baba wa mwanaharakati Maria Sarungi, taarifa hii iliandikwa na Msemaji wa Familia ya Chifu Sarungi, jambo ambalo limewagusa wengi ndani na nje ya nchi. Pamoja na uzito wa msiba huu, kuna changamoto moja kubwa inayomkumba Maria—ukosefu wa nauli ya kumwezesha kusafiri kurudi nyumbani kuhudhuria mazishi ya mpendwa wake. Hili ni jambo linalogusa utu wetu kama jamii, na tunapaswa kuungana kumsaidia.

Uzalendo na Utu Kwanza;

Maria Sarungi, licha ya misimamo yake inayowakera baadhi ya watu, ni Mtanzania mwenzetu. Katika masuala ya misiba, tofauti za kiitikadi, siasa, au mitazamo zinapaswa kuwekwa kando. Huu si wakati wa kulumbana kuhusu nani yuko sahihi au la; ni wakati wa kuonesha mshikamano wa kibinadamu. Kama jamii, tuna jukumu la kusaidiana katika nyakati za huzuni, bila kujali mahusiano yetu ya awali.

Maria Hana Nauli—Tufanye Nini?

Maria, kwa muda mrefu sasa, amekuwa akiishi nje ya Tanzania.
Inawezekana hali ya kiuchumi imekuwa ngumu kiasi cha kumfanya ashindwe kugharamia tiketi ya safari yake ya kurudi nyumbani. Hii ni fursa kwetu kama Watanzania wenye moyo wa huruma kujitokeza na kumchangia ili afike kwa wakati na kumuaga baba yake kwa heshima anayostahili.

Umuhimu wa Kushiriki Mazishi

Kulingana na mila na desturi zetu za Kiafrika, kushiriki mazishi ya mzazi ni jambo lenye uzito mkubwa. Ni fursa ya mwisho ya kutoa heshima na kuungana na familia katika majonzi. Tusimnyime Maria haki hii kwa sababu ya ukata. Kwa kujitokeza na kumchangia, tunathibitisha kuwa utu wetu na mshikamano wetu kama jamii haupotei, haijalishi tofauti za maoni na mtazamo.

Changia Popote Ulipo

Kwa yeyote anayeguswa na hali hii, tunaweza kuandaa mfuko wa michango kupitia njia mbalimbali za malipo. Hata mchango mdogo unaweza kufanya tofauti kubwa. Kama Watanzania, tuoneshe moyo wa upendo na mshikamano katika nyakati hizi ngumu.

Maria Sarungi ni mmoja wetu. Leo hii ni yeye anayehitaji msaada wetu; kesho huenda ikawa ni mimi au wewe. Tusimwache peke yake katika kipindi hiki kigumu.

Namba za Malipo

+255624007238 Martin Leonard Obwago Sarungi
0713 633008 Juma Issack

Tuchangie—Tumsaidie—Tumpe Fursa ya Kumuaga Baba Yake Kwa Amani.
 
Attachments

  • 20250307_194319.jpg
    20250307_194319.jpg
    154.7 KB · Views: 1
Gentleman,
kila mtu inafaa aubebe msalaba aliojitengenezea mwenyewe, kujistukia sio tatizo la wengine ni lako mwenyewe,

hakuna haja ya kubabaika na umbea wa mwingine msibani. Mtu amefariki, anazikwa na maisha mengine yanaendelea, hakunaga mbambamba ya matazito binafsi ya mtu mwingine kujadiliwa msibani kwa mwingine 🐒

Mwenzangu upo kazini. Kazi ya uchawa
 
Back
Top Bottom