Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

Kwamba Maria ni mkimbizi? Familia ya Sarungi wamewahi kulalamika kuwa wamekosa fedha?
 
Viongozi wa ccm ni janga la kitaifa mkuu! Walitegemea mapambio kutoka kwa maria kitu ambacho hakiwezekani ndiyo maana kuna majitu huwa nayadhangaa yakisema mimi ni mzaliwa wa ccm siyo wakuja. Mengine nikama yana hatimiliki ya chama kuwasema wengine ambao ni wakuja
Nimeona hata bi chura akimzodoa bashiru kwamba waliwapa vyeo wanasema chama viongozi vibaya
Yaani mnamkomesha Mzee kwa mambo ya mwanawe?
 
acha upotoshaji gentleman,
mzee ameumaliza mwendo na atazikwa kwa heshima kwasababu nae alikua na heshima kwa watu wote alofanya nao kazi kwa nyakati tofauti tofauti nchini,

hakuna haja ya kujieleza sana mitandaoni hali ya kua kwake panafikika kirahisi hapo masaki na viongozi mbalimbali wamekuako hapo na wataendelea kuako mpaka atakapopumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kulingana na ratiba ya familia.

huyo mwanae akija Tz au hata asipokuja kumzika babayake ni uhuru na uamuzi wake binafsi, hakuna wa kubabaika nae kwasababu si muhimu pia

R.I.P Phillemon
 
Kwani Maria ana kesi yoyote ambayo huwa ameikimbia?
 
Wala hakuna ulazima wowote
Mtu akisha kufariki kinachotakiwa kufanywa ni azikwe tu kwa taratibu za dini yake au mila yake !
Idadi ya watakao hudhuria mazishi haina umuhimu wowote !
Kuomboleza na kumuombea marehemu mtu anaweza kufanya popote pale alipo !
Kwahiyo this is how it is ! Haibadili chochote. !
Once you are gone you’re gone forever 🙏🙌 this is for everyone !

R.I.P Dr Sarungi 🙏 na poleni sana wafiwa, Mungu awape Nguvu !
 
kwani kaburi haliwezi kuchimbika bila yeye,na mzee akazikwa hayo ni mambo ya familia,maria aendelee kumtwanga chura kiziwi
 
atakuja na hamtamfanya chochote. kwani amefanya kosa gani?
 
Hakuna mtu anaemtafuta Maria labda kama aligombana na majirani zake sawa, ila kwa upande wa serekali kama wangekua wanamtafuta hata hapo Nairobi anapoishi siyo sehemu salama kwake wangeshampata tu

Sawa tumekusikia serikali. Tuambie ni nani anayetafutwa.
 
Poleni sana Familia ya Prof. Sarungi. Huyo Baba yake Mzazi alikuwa Chifu wa Utegi na hivyo lazima akazikwe Utegi karibu na kaburi la Baba yake. Jamii ya Utegi wamepoteza mtu mahiri.
 
Kila kitu kwako ni upotoshaji ila yakwako yaupotoshaji huyaoni.
 
 
Ana kesi gani mahakamani, jinai murder au madai. Au ni mkimbizi wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…