Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Uwe unafanya haya kwa wanaume wenu wa dar. Yaani ukinifanyia hivo hadi unajisifu naweza kukuacha mlemavu.
Yaani ulivyosema hivi tu hadi nakutamani nikukunje kwa kichapo
 
Sipendi mwanamke kupigwa 80% wanawekaga mazingira ya wao kupigwa.

Kwanza wanajitia unyonge unaomfanya mwanaume muonevu kumpiga hata kwa kosa la kijinga.

Pili mdomo. Kuna wanawake wana midomo michafu yani hata mwanamke mwenzake ukiwa karibu ukimsikia anavyomuongelesha mtu mwingine unatamani ukaanze kumpiga wewe.

Kama ambavyo hatupendi kupigwa basi tusiweke mazingira ya kupigwa. Mtu anakupiga kila siku upo tuu.

Rafiki zangu wanasemaga nina mdomo ila sijawahi pigwa hata kibao na mwanaume huwa napenda sana kujiepusha na mazingira yanayoweza kunifanya nigombane. Kwanza sitoagi chance ya kugombana na mwanaume sasa atanipiga saa ngapi?

Wanaume acheni kupiga wanawake kama amekushinda muache aende maana hii michezo ya kupigana huwaga na mwisho mbaya.

Mwanamke usikubali kupigwa na siku huyo mwanaume anajaribu kukupiga hakikisha inakua ndio mwanzo na mwisho kukunyanyulia mkono otherwise utageuka kuwa fuko la mazoezi.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mfano ungekuwa na plan b ukampa ulichokifuata ukaondoka Zako... kumpiga mwanamke ni weakness
 
Kuna muda mwanamke ndani anakuchokonoa Hadi unakosa plan b ya kumuepuka,unajikuta kibao kimeshakutoka

Mwanzo nilikuwa nalaumu sn mwanaume anayepiga mkewe ndani,Ila kuna siku nilijibiwa jibu la kishenzi sikuwa na namna ikanitoka kerbu
Hahahahahah huwa inatokea tu mke anazingua bange unampasha
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
😅😅😅😅😅😅 watoto wa kike wana majibu ya kiboya sana
 
Una Matatizo pia kama hamuaminia ndio mambo kama hayo hutokea , pia kwanini uumie wakati sio kweli
Uzuri wenu wanawake always mwanaume ndio huonekana ana matatizo kwenu. You never feel the impact of your reactions🤣
 
Usirudie tena 😅😅😅
 
Wanawake wana vineno vya kejeli 😅 yani anajua hapo lazma ukerekwe tu na ndio starehe yake
 
Ukinipiga lazima nikupopoe mawe tu...kama hamna mawe basi kilichopo mbele yangu halali yako
Wewe kupigwa ni kumkosea Mungu! Unaonesha unajielewa sana kwenye mahusiano na how to deal with a man!
 
Sema demu kashaharibika kichwa mpaka hapo. Kuvumilia vipigo kila siku wanashauriana hadharani waikate hio hali ila wakiwa faragha huko wanakung’utwa na wametulia tuli😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…