Je, Master J huwa anampiga Shaa?

Je, Master J huwa anampiga Shaa?

[emoji3][emoji3] umenikumbushan, nilikuwaga najiambia na mdomo wangu huu nikiona nakaribia kupigwa nitakuwa naondoka eneo la tukio, siku 1 mpuuzi mmoja akajaribu kunisukuma ananitishia kunipiga, kwanza nikampa warning usiniguse! Akanifanya maneno ya kero yaendelee kumwagika mara mbili ya mwanzo,..heee akanifata kunisukuma tena, sijui nguvu zilitoka wapi nilimnasa kibao cha usoni straight kwenye macho akaona giza nikakimbia. Maana kama si kuona giza ningevunjwa miguu.
Uwe unafanya haya kwa wanaume wenu wa dar. Yaani ukinifanyia hivo hadi unajisifu naweza kukuacha mlemavu.
Yaani ulivyosema hivi tu hadi nakutamani nikukunje kwa kichapo
 
Sipendi mwanamke kupigwa 80% wanawekaga mazingira ya wao kupigwa.

Kwanza wanajitia unyonge unaomfanya mwanaume muonevu kumpiga hata kwa kosa la kijinga.

Pili mdomo. Kuna wanawake wana midomo michafu yani hata mwanamke mwenzake ukiwa karibu ukimsikia anavyomuongelesha mtu mwingine unatamani ukaanze kumpiga wewe.

Kama ambavyo hatupendi kupigwa basi tusiweke mazingira ya kupigwa. Mtu anakupiga kila siku upo tuu.

Rafiki zangu wanasemaga nina mdomo ila sijawahi pigwa hata kibao na mwanaume huwa napenda sana kujiepusha na mazingira yanayoweza kunifanya nigombane. Kwanza sitoagi chance ya kugombana na mwanaume sasa atanipiga saa ngapi?

Wanaume acheni kupiga wanawake kama amekushinda muache aende maana hii michezo ya kupigana huwaga na mwisho mbaya.

Mwanamke usikubali kupigwa na siku huyo mwanaume anajaribu kukupiga hakikisha inakua ndio mwanzo na mwisho kukunyanyulia mkono otherwise utageuka kuwa fuko la mazoezi.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Juzi Tu hapo jmosi nimetoka mjini kuna kitu nilienda kumnunulia bila kumuaga naenda wapi,nikachelewa kurudi kidogo.

Akaniandikia meseji ya ajabu Hadi sn "yaani wewe mwanaume Hadi mshahara uishe ndy utatulia nyumbani,sasa hivi ushaenda Kwa michepuko yako". Isivyo bahati meseji inaingia nami ndy nafika nyumbani,nikaweka mzigo wake mezani akachezea vibao kadhaa kisha akaniomba msamaha kwamba hakujua km nimeenda huko

Kwa wale wenye kukaa na wanawake wanaelewa kbs jinsi wanawake wanavyozingua,Mimi simlaumu kbs master J km anampiga mkewe,maana kauli umetoka upande mmoja wa mwanamke,ingawa naye hayupo direct
Mfano ungekuwa na plan b ukampa ulichokifuata ukaondoka Zako... kumpiga mwanamke ni weakness
 
Kuna muda mwanamke ndani anakuchokonoa Hadi unakosa plan b ya kumuepuka,unajikuta kibao kimeshakutoka

Mwanzo nilikuwa nalaumu sn mwanaume anayepiga mkewe ndani,Ila kuna siku nilijibiwa jibu la kishenzi sikuwa na namna ikanitoka kerbu
Hahahahahah huwa inatokea tu mke anazingua bange unampasha
 
Kweli mkuu, kunasiku wife yaani anakataa kumnyonyesha dogo, namuuliza kwanini hataki akanijibu mnyonyeshe na wewe kama unaona raha, alikula banzi ambalo hatakuja sahau
😅😅😅😅😅😅 watoto wa kike wana majibu ya kiboya sana
 
Una Matatizo pia kama hamuaminia ndio mambo kama hayo hutokea , pia kwanini uumie wakati sio kweli
Uzuri wenu wanawake always mwanaume ndio huonekana ana matatizo kwenu. You never feel the impact of your reactions🤣
 
[emoji3][emoji3] umenikumbushan, nilikuwaga najiambia na mdomo wangu huu nikiona nakaribia kupigwa nitakuwa naondoka eneo la tukio, siku 1 mpuuzi mmoja akajaribu kunisukuma ananitishia kunipiga, kwanza nikampa warning usiniguse! Akanifanya maneno ya kero yaendelee kumwagika mara mbili ya mwanzo,..heee akanifata kunisukuma tena, sijui nguvu zilitoka wapi nilimnasa kibao cha usoni straight kwenye macho akaona giza nikakimbia. Maana kama si kuona giza ningevunjwa miguu.
Usirudie tena 😅😅😅
 
Niombe radhi hapo kwenye depression cariha 😁

tatizo ana wivu sn Hadi amepitiliza..Huyu mwanamke wa kunitumia meseji naona umeshapata hela basi utaangaika Na hao Malaya zako Hadi iishe ndy utatulia nyumbani wakati sina mchepuko hata mmoja..cariha Hadi hapa unamtetea Tu?.Kwa nn asiniulize kistaarabu upo wapi nami ningemjibu tu
Wanawake wana vineno vya kejeli 😅 yani anajua hapo lazma ukerekwe tu na ndio starehe yake
 
Ukinipiga lazima nikupopoe mawe tu...kama hamna mawe basi kilichopo mbele yangu halali yako
Wewe kupigwa ni kumkosea Mungu! Unaonesha unajielewa sana kwenye mahusiano na how to deal with a man!
 
Read btn the line,unatoka out,na ndugu na jamaa,Tena nje ya mkoa,mnafikia lodge,ghafla unashambuliwa,ndugu na jamaa wanaingilia,na kumzuia anaempiga!
Then unampigia dada yako,na unajiuliza kwa nini amefanya hivi hadharani?maana umezoea huwa anafanya hivyo mkiwa faragha!!!
Mpaka hapo lazima ni mtu wake wa karibu,mume,mchumba!!!
Sema demu kashaharibika kichwa mpaka hapo. Kuvumilia vipigo kila siku wanashauriana hadharani waikate hio hali ila wakiwa faragha huko wanakung’utwa na wametulia tuli😅
 
Back
Top Bottom