Isikuume maana hata yeye alinipenda, tena sana...hapo kuna shida?Yaan hapa ni kama unasema ukisaidiq mtu lazima ulipwe fadhila sasa huo ni msaada?
Hii ni tofauti kabisa
Hii imemiuma aisee😢
Wanaume 😭
Aisee kazi ipoJibu Huwa ni Moja ndiyo au hapana!!!
Sisi wanaume ni sawa na mchwa,mchwa mchwa Usha wahi jaribu kupekecha jiwe!!
Sasa jiwe likikaa vibaya linaenda
Asante kakaNimeelewa
Shenziii🤣🤣Isikuume maana hata yeye alinipenda, tena sana...hapo kuna shida?
Nijibu kwanza 😁Shenziii🤣🤣
Sawa nakujibu hakunaNijibu kwanza 😁
🤣🤣🤣🤣🤣 buku tu.Aaah wewe ndugu yangu hapana aisee!🙌
Astghafirullah 🤣🤣🙌Na kuna mahali mtu anakubananisha iwe unampenda ama humpendi utatoa tu 😅.
Una nini wewe lakini 🤣🤣Halafu likimaliza linaanza kujichekesha kama fisi vile.mxiuuuuu
Eti mdada una shepu kama hili, nikikutongoza ukaninyima sikubali, tutafikishana hadi polisi Khantwe ShesRise_1Mwanaume mshenzi akiona tu mwanamke mwenye shida tayari kichwa cha chini kinadaka network
Ila ngono nayo ina namna yake ukifanya kwa ajili ya kitu hata hufaidiWhatever, mpenda ngono anaona ni fursa kwake na halaumiwi kwa kuwa ndo hitaji lake ili asolve kitu kwa mtu mwingine ndio nature yenyewe dada yangu!
Ma CCM yana tunyooshaHebu tazama lisisiemu linavyojipakulia, ujue ni kama simba tu porini, mnyama anayekuwa weak zaidi yake anakula tu ila mradi kaja mbele yake au kamuona, so kinachomfanya aliwe ni weakness yake na kwa kuwa ni chakula, lkn sio wote wanaliwa ndio kama ulivyokwepa ule mtego mwenyewe, na hii kama vile masisiemu yakiona loose ball tu yanavyojipigia kama hayana ndugu wala jamaa mwenye shida, ndio principles za biology zinavyosema na ndio tunayaishi!
ExactlySurvival of the fitest na the stronger, strengh sio lazima iwe musles hata opportunity tu, kama vile aliye juu anakula tu aliye chini kwa namna zote financially, utariji, uboss, kufanya vizuri darasani unakuta gals wanakufuata tu, na zingine nyingi nyinginezo, Unafikiri mlaji anaona haya au dhambi? Thubutuu
Ni philosophical tu haya mambo...
🤣🤣🤣 Nashukuru mimi nimeepuka hilo la kupelekwa polisi
Hicho kishundu ndio ugonjwa wako kijana?Eti mdada una shepu kama hili, nikikutongoza ukaninyima sikubali, tutafikishana hadi polisi Khantwe ShesRise_1
View attachment 3605036
Yaani anakubananisha anakuwa amekukuta wapi 🤣🤣🤣Na kuna mahali mtu anakubananisha iwe unampenda ama humpendi utatoa tu 😅.
Halafu likimaliza linaanza kujichekesha kama fisi vile.mxiuuuuu
Ukiwa na maana 🤣🤣🤣🤣🤣 Nashukuru mimi nimeepuka hilo la kupelekwa polisi
🤣🤣 Shepu hiyo sikuwahi kuwa nayo hata enzi zanguUkiwa na maana 🤣🤣
Hivi enzi hua ni zipi 🤣🤣🤣 Shepu hiyo sikuwahi kuwa nayo hata enzi zangu
Sio mbaya yote heriAaa sawa ila mie sina kabisa😎
Yanakera wewe niliwahi bananishwa mahali kama sio mhasibu kutokea ingekuwa stori nyingine. Tulipurukushana mle ofisini kwake mafaili yalidondoka ovyoovyo 😅😅😅 halafu linajichekesha chekesha kama ngiri na kitambi chake cha local beer.Astghafirullah 🤣🤣🙌
Una nini wewe lakini 🤣🤣
Na imagine fisi anachekaje 😆