Je, matatizo ya Mwanamke ni fursa kwa baadhi ya Wanaume?

Ni kweli lakini jamii inapaswa kuelewa na upande wa pili kwamba kwa mwanamke pia hayo mambo yapo kila mahali hata kama sio kwenye kuomba kazi, inaewza ikawa hata unatembea zako tu barabarani kijana akakuelewa tu,,
hapo maamuzi yanakuja kwako kama ukubali au laa kumbuka hulazimishwi kwa bastola😂 huo ndio ukweli uliopo kati ya jinsia zote kupenda na kupendwa
 
Ni kweli kabisa😅
 
Mwanaume anayetaka mbunye hana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…