Tupo kwenye mkwamo mpaka sasa mwaka mmoja.
Hawawezi kufanya kumbukumbu ya mauaji waliyoyafanya!Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.
Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona kama imeshindikana kutokana na namna siku ya jana ilivoazimishwa na watanzania. Swali langu ni je siku hii inaweza kuwa ndio kumbukizi ya milele Kila mwaka? Na kama ni hivyo kwanini Serikali hii hata kama inaitwa haramu isirasimishe tu siku hiyo na kutambulika kama "kumbukizi ya mauaji ya oktoba 29"?
Ni mawazo yangu tu jamani mawazo hayapigwi rungu
Kwa zile vurugu ungemkamata nani? Polisi na vyombo vya ulinzi vilikuwa bize kupambania uhai wao!!Hao walioharibiwa Mali na uharibifu kwanini wasiende mahakamani?
Vurugu zile kila mtu alikuwa anapambania uhai wake, kama polisi nao walikuwa wanauliwa wangewezaje kukamata?Yani waweze kuuwa washindwe kukamata hii inakuingia akilini?
So kila alikufa alikuwa muhalifu including walikuwa hawapo kwenye maandamano?Jambo gumu hilo!! Kama taifa tunawezaje kuwaenzi waharifu waliochoma na kuiba mali binafsi za watz na kuharibu miundombinu ya umma?
mnaweza kuadhimisha hata kila siku gentleman huo unafiki, nadhani itapendeza zaidi πWatanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.
Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona kama imeshindikana kutokana na namna siku ya jana ilivoazimishwa na watanzania. Swali langu ni je siku hii inaweza kuwa ndio kumbukizi ya milele Kila mwaka? Na kama ni hivyo kwanini Serikali hii hata kama inaitwa haramu isirasimishe tu siku hiyo na kutambulika kama "kumbukizi ya mauaji ya oktoba 29"?
Ni mawazo yangu tu jamani mawazo hayapigwi rungu
Mbona hao piolis waliouwawa hatukuwaona.. tupe list yaoVurugu zile kila mtu alikuwa anapambania uhai wake, kama polisi nao walikuwa wanauliwa wangewezaje kukamata?
Katika hao 518 polisi ni mia mbili na kitu!!Mbona hao piolis waliouwawa hatukuwaona.. tupe list yao
nadhani kwa unafiki zaidi na kugain public sympathy ya kutosha, ingependeza zaidi iwe kila siku gentleman, kwa maoni yangu πTarehe 29 oktoba inatosha
Bila kikomo, bola kuchokaWatanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.