antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Maadhimisho yanafaa kuwa ya kudumu.Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?
Maoni yako hatuyataki tunafuata maoni ya watanzania wengi maadhimisho ni kila tarehe 29 oktoba ya Kila mwaka.karibunadhani kwa unafiki zaidi na kugain public sympathy ya kutosha, ingependeza zaidi iwe kila siku gentleman, kwa maoni yangu π
ok.sawa ila ni unafiki mtupu,Maoni yako hatuyataki tunafuata maoni ya watanzania wengi maadhimisho ni kila tarehe 29 oktoba ya Kila mwaka.karibu
Asante mheshimiwa nadhani ushauri huu utazingatiwa.Jibu ni ndio, kila mwaka.
Mauaji ya October 29 2025 yalikuwa ni sawa na mauaji ya Kimbari nchini Rwanda na pia sawa na mashambulizi ya magaidi yalofanywa kwenye majengo ya Twin Towers mjini New York nchini Marekani tarehe 11 September 2001.
Hivyo kila mwaka Tanzania iendelee kukumbuka mauaji hayo kwa sala na maombi kwa wale wote waloathirika walouawa, walojeruhiwa na familia zao ambazo hadi kesho hawafahamu ilipo miili ya ndugu zao au sehemu walipozikwa kwa pamoja.
Hivyo sambamba na hiyo pia tuwe na kumbukumbu zifuatazo.
1. Sokoine Day (kifo cha kutatanisha) 12 April 1984
2. Nyerere Day (Baba wa Taifa) October 1999
3. Magufuli Day (kifo cha kutatanisha na tarehe iso na uhakika 17 March 2021)
4. Siku ya kitaifa kukumbuka wahanga wa mauaji ya October 29 2025 ambapo watu zaidi ya 10,000 waliuawa na vikosi vya kukodi kutoka nje ya Tanzania.
Zanzibar nao wawe na Karume Day (ambae aliuawa kwa kupigwa risasi) na pia watafute tarehe maalum ya kukumbuka mauaji ya mwaka 1995 au 2005 baada ya uchaguzi.
Kila mtanzania awajibike kwa matukio kama haya, matukio haramu.
nadhani ni magaidi ndio waliwaua wananchi walioenda kupiga kura na ambao hawakua tayari kushiriki ugaidi wao gentleman,Kukumbuka wananchi waliuwawa na Dola siyo unafiki.wanafiki ni ambao hawataki kukumbuka.
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni jukumu la kizalendo rahisi mno gentleman,π€£π€£π€£ Kazi yako ngumu sana gentleman.
Wewe kwanza hujui tofauti ya wahalifu na waharifu.Jambo gumu hilo!! Kama taifa tunawezaje kuwaenzi waharifu waliochoma na kuiba mali binafsi za watz na kuharibu miundombinu ya umma?
Kwa wingi wa vifo na ulemavu uliyotokea,si jambo rahisi kusahaulika hivi karibuni,nadhani kila ikifika hiyo tarehe walioguswa lazima watakumbuka tu kwa namna yoyote ile waonayo inawafaa.Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29.
Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona kama imeshindikana kutokana na namna siku ya jana ilivoazimishwa na watanzania. Swali langu ni je siku hii inaweza kuwa ndio kumbukizi ya milele Kila mwaka? Na kama ni hivyo kwanini Serikali hii hata kama inaitwa haramu isirasimishe tu siku hiyo na kutambulika kama "kumbukizi ya mauaji ya oktoba 29"?
Ni mawazo yangu tu jamani mawazo hayapigwi rungu
Pia, tuseme labda walifanya uharibifu wa mali, kwa hiyo adhabu yake ni kifo cha kupigwa risasi ya kichwa?Wewe kwanza hujui tofauti ya wahalifu na waharifu.
Wale watoto waliouawa wakitazama mpira walichoma mali ya nani?
Haya mambo ya kulinganisha uhai na mali kwa kiasi fulani ni matatizo ya umasikini na ujinga.Pia, tuseme labda walifanya uharibifu wa mali, kwa hiyo adhabu yake ni kifo cha kupigwa risasi ya kichwa?
Watu wanaolinganisha uhai wa binadamu na mali, hawana akili kabisa.
Maduka ya vitu vya bei mbaya huko Ufaransa majuzi tu hapa yameporwa na mengine yamechomwa moto lakini hakuna hata mtu mmoja aliyeuliwa!
Hawa Wauaji hawana hoja yoyote.
Lete ushahidi..Katika hao 518 polisi ni mia mbili na kitu!!
Report ya jaji chande ipo clear kaisome!!Lete ushahidi..
you can perceive wherever but,Kuitetea CCM lazima ujitowe akili
Kwahiyo ukiongea haka kakiingereza Kako uchwara unadhani ndio nani atatishika?you can perceive wherever but,
but responsive Government of Chama cha Mapinduzi will never allow such useless terror behavior to strive to our beautiful country.
Our very able security apparatus will disband anybody on the spot without any fear of contradictions and protect the good people of Tanzania π
don't be confused gentleman plz,Kwahiyo ukiongea haka kakiingereza Kako uchwara unadhani ndio nani atatishika?