Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

Hata KUB mstaafu Mbowe hakukatazwa kuhudhuria bwashee!
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali
Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki ... siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli...BIG UP!!!!
Serious? Tuache masihala. Labda sababu ana background ya huo mradi kuliko hata PM. Inawezekana ndio sababu. Lakini tusianze kumpamba wakati tunajua yukoje
 
Msifadhaike mioyoni mwenu, jifanyieni kazi zenu kisha ya wanasiasa waachieni wanasiasa

Wenye akili msipojihusisha na siasa kila siku mtaongozwa na wapumbavu watakaoipeleka nchi mrama!!! Mnaona sasa ccm wamempa kichaa lungu; anajipangia miradi mikubwa ambayo itabidi awakamue wananchi kodi halafu kwavile haitakuwa imemalizika baada ya muda wake kwisha atawapanga wapambe wake waseme eti wanamlazimisha aendelee kutawala ili kumalizia miradi yake aliyoanzisha!!!
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali
Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki ... siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli...BIG UP!!!!
Sifa hizi ziende kwa Prof. S. Muhongo ndiye aliyeleta uwajibikaji pale TANESCO kabla ya kubakia kwenye madini tu kisha kutumbuliwa.
 
Mimi sio CCM ila kwa hili la kalemani nadhani ameenda kama waziri wa nishati mstaafu na sio waziri wa nishati may be wametambua mchango wake katika ujenzi wa hilo bwawa.. but inawezekana mkeka wa mzee upo tayari ila kama kaenda kama waziri Meko anakosea vitu vingi sana asee na sijui kama ana washauri wazuri,na kama wapo wanaogopa kumwambia ukweli
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali
Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki ... siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli...BIG UP!!!!
Nakubaliana nawe BIG UP Kaleman
 
Kwani Robert Amsterdam analiongeleaje suala hili
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali
Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki ... siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli...BIG UP!!!!
Hapo starring ni jiwe mwenyewe. Huyo jamaa anajua jiwe anataka nini na akishindwa anajua hana uwaziri.
 
Ndio basi tena nchi tumewaachia Wahutu..uwe CCM au upinzani wote mafala tu
 
KAMA HAJATEUA ANABAKI YULEYULE
 
Huyo jamaa namkubali sana
Anastahili kurudi kwani ametutoa mbali
Kumbuka ule mgao wa umeme kabla yake, mwingi ulikuwa hata haueleweki ... siku hizi ukiwapigia hata emergence wana pokea na kufuatilia. Mambo yamebadiliaka kwa kweli...BIG UP!!!!
Angalia huyu kilaza, yaani kaacha hoja ya msingi iliyomezani, karukia kulamba viatu na kusifia...
 
Kwani yeye siyo Mbunge au unakurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…