Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

Mtoa hoja umefanya majumuisho kwa kutumia hiyo picha pekee..ungefuatilia matangazo ambayo yalikuwa mbashara ilielezwa kwamba..Mhe.Kalemani alihudhuria hapo Kama Waziri wa Nishati mstaafu na kutambua mchango wake kwenye huo mradi.

Mwenyeji wa Mhe.Waziri Mkuu hapo leo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara(Huyo dada karibu na PM)na

Kama ungekuwa vizuri kwenye itifaki isingekupa shida kuona kwamba Mhe. Kalemani yuko pembeni kabisa jambo ambalo lisingekuwa hivyo kama angekuja hapo kwa kofia ya uwaziri.
 
Ni mbunge wa Chato pia ni Msukuma kwahyo ondoa shaka ya uwepo wake hapo
 
Angalia mlivyo manyumbu ! Tatizo lenu mnapenda kuokoteza okoteza habari za huko twitter mnazileta humu Jf! Mbona mnakua hamna akili!,Mlifuatilia Tukio lenyewe? Mnajua alitambulishwa kama nani ? Mnapenda critics sana!
 
Kaangalie Tukio lenyewe! Mnapenda sana kukosoa! ,Mambo mengine ni bora kukaa kimya,mnaonekana hamna akili!.
 
Nikukumbushe tu, kwa Chadema na ACT Wazalendo ni kwamba Tanzania haina serikali.
Namuona hata Zitto analalamika tu, sijui anamlalamikia nani..
Ni kweli kabisa font nyekundu, je ulitakaje kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…