Je, Medard Kalemani ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati kimya kimya?

Alitambulikaje!
Kama Aliyekuwa Waziri wa... / Waziri wa....!?

Kubonyeza Hata wewe G Sam ungeweza kupokea ujumbe uliwakilishe Taifa kama Mtanzania Mzalendo.


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wapiga ramli wamerudi, kazi yao kubwa ni upotoshaji. Aibu kwa JF.
 
Wakuu cheo kitam asikwambie ,mtu ni wachache Sana wasio habudu cheo Kama Mimi Mbatizaji, kwamba sitakaki buguza , maana nimewai kataa vyeo kwa kisingizio ya mama na baba wahitaji ukaribu na Mimi, maana niliona vyaweza nipanda kichwani kwenye shirika flan, yahani niwe gari zuri na derva wakati huo mda wote mabonde na milima kujibu sms au email nilisema no na itakua no kidogo changu Nile kwa Raha na familia yangu, na nipewe Raha na mama watoto!
Maisha kujipa mwenyewe bwana maana we will die , na siku iyo nasindikizwa hakuna kitakacho ongezeka.
 
Hebu ww mwenye akili sema tukio lilikuwa je?
Alitambulishwa kama Waziri wa nishati mstaafu! Kwa kutambua mchango wake katika bwawa hilo!.Kosa liko wapi sasa! Kuleta habari humu bila kufuatilia ni Upuuzi!
 
Waziri mkuu mzima anaenda kuzindua uchepushaji wa maji, kakosa kazi?
 
Alitambulishwa kama Waziri wa nishati mstaafu! Kwa kutambua mchango wake katika bwawa hilo!.Kosa liko wapi sasa! Kuleta habari humu bila kufuatilia ni Upuuzi!
Wakuu nafikili ni mda wa kujikuta na tz KWANZA ,taifa kwanza ,mombo mengine badae,
Taifa kwana mengine badae ,kuzidua ni wajibu wao but tz kwanza ndo twaifikilia hasa wazalendo wa taifa hilo basi
 
Huna tofuti na Juma Lokole
 
Kiprotokali na nadhani hata Kikatiba limefanyika Kosa Kubwa Yeye kuwepo hapo na badala yake aliyetakiwa kuwa hapo ni Katibu Mkuu wa Wizara.
 
Waziri ni waziri hadi atakapo kabidhi ofisi kwa waziri aliyeteuliwa mwingine, hivyo bado yupo kisheria hadi waziri mwingine akichaguliwa na kumkabidhi ofisi ndio ukomo wa uwaziri wake, au utaratibu watu hamjui mnaongea tu.
 
Hivi Kweli, Tuseme Kweli Bila Kutia Mahaba Yoyote
Mchepuko Wa Maji Unahitaji Sherehe Kweli
Serikali Inahamishia Nguvu Kwenye Tukio Ambalo Mkandarasi Akimwaga Zege Sherehe!!!


Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜πŸ˜

Merdard Naye Kapenya Anajichotea Cheo πŸ™„πŸ˜πŸ˜
Kama Yule Aliyetuma Sms Kuwa Umeapa Vizuri
πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜…πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜
 
Mbunge wa Chato na ni Msukuma.
SUKUMALAND wanakula mema ya nchi ya chama kimoja.
 
Tunaongozwa na mtu mmoja kihuni, kibabe na kimafia.
 
Nadhani Majaliwa anataka kumpangia John nan wa kuteuaπŸ˜‚ lakn hata mm nimeshangaa kumuona pale tena akapewa na nafasi ya kuongea utopolo zaidi ya dakika 10.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bongo raha Naskia na pilau wamekula huko huzindua huo mchepuko
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bongo raha Naskia na pilau wamekula huko huzindua huo mchepuko
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
Wasomi Hao Baadaye Wanasema Vijana Mjiajiri
Ninyi Wavivu Sana

😎😎😎 Jaza Ujazwe Vyeo Vyao Hawajaachia
Hata Kama Hujateuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…