Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

We kwanza unamjua true God ni nani?

Ungemjua true God usinge mtukuza Yesu.

Kuna Jamaa alikuwa anavaa msalaba kilo tano aliulizwa siku moja, hu msalaba unavaa kwa sababu gani akase a namtukuza Yesu akaulizwa Yesu ni nani akasema Mungu akaulizwa Yesu anamuita Mariam nani akasema Mama πŸ˜„ wakamwambia kumbe Mungu wako ana mama? Wakampiga swali lingine sa Maryam anamuita Yesu nani? Akatoka taratibu analia kujua miaka anabudu binadamu sio Mungu πŸ˜„

Nyie ni makondoo tu wote mnao dhani Mungu wenu tofouti na Mungu wa waislam sababu mmeisha potezwa na msalaba wa Paulo πŸ˜„
 
Suluhisho ni dogo sana, Magaidi ya HAMASI yajisalimishe kama kweli Wana Moyo wa upendo na utu dhidi ya watu wao.
Kabla ya kujisalimisha magaidi ya israhell hakuna hamas ataejisalimisha
 
Siasa na maigizo havijawahi kuachana
 
Hamas Wasifanye Vitu kwa Mihemko Kuna Watu hawachezewi Subili Dawa iwaingie (Slava IDF Slava US Army)
 
Aiseeee kwahiyo ala Kala mbio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…