Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We kwanza unamjua true God ni nani?Hata HAMASI wengi tu wameshauawa ila Bado wapo, haswa viongozi na wafadhili wao. Tatizo msichukulie Hawa Hamasi kama kikundi kilichokaa eneo Fulani Identifiable, wengi wako kiraia raia, yule unayedhani ni raia kumbe ni Hamasi. Vita ya aina hii huchukua muda sana. But they will be washed out in the End in the name of JEHOVAH the true God.
Ungemjua true God usinge mtukuza Yesu.
Kuna Jamaa alikuwa anavaa msalaba kilo tano aliulizwa siku moja, hu msalaba unavaa kwa sababu gani akase a namtukuza Yesu akaulizwa Yesu ni nani akasema Mungu akaulizwa Yesu anamuita Mariam nani akasema Mama 😄 wakamwambia kumbe Mungu wako ana mama? Wakampiga swali lingine sa Maryam anamuita Yesu nani? Akatoka taratibu analia kujua miaka anabudu binadamu sio Mungu 😄
Nyie ni makondoo tu wote mnao dhani Mungu wenu tofouti na Mungu wa waislam sababu mmeisha potezwa na msalaba wa Paulo 😄