Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

Hata HAMASI wengi tu wameshauawa ila Bado wapo, haswa viongozi na wafadhili wao. Tatizo msichukulie Hawa Hamasi kama kikundi kilichokaa eneo Fulani Identifiable, wengi wako kiraia raia, yule unayedhani ni raia kumbe ni Hamasi. Vita ya aina hii huchukua muda sana. But they will be washed out in the End in the name of JEHOVAH the true God.
We kwanza unamjua true God ni nani?

Ungemjua true God usinge mtukuza Yesu.

Kuna Jamaa alikuwa anavaa msalaba kilo tano aliulizwa siku moja, hu msalaba unavaa kwa sababu gani akase a namtukuza Yesu akaulizwa Yesu ni nani akasema Mungu akaulizwa Yesu anamuita Mariam nani akasema Mama 😄 wakamwambia kumbe Mungu wako ana mama? Wakampiga swali lingine sa Maryam anamuita Yesu nani? Akatoka taratibu analia kujua miaka anabudu binadamu sio Mungu 😄

Nyie ni makondoo tu wote mnao dhani Mungu wenu tofouti na Mungu wa waislam sababu mmeisha potezwa na msalaba wa Paulo 😄
 
Suluhisho ni dogo sana, Magaidi ya HAMASI yajisalimishe kama kweli Wana Moyo wa upendo na utu dhidi ya watu wao.
Kabla ya kujisalimisha magaidi ya israhell hakuna hamas ataejisalimisha
 
Aaaaaiiiseeee 🙄🙄🙄 kumbe yale yalikuwa maigizo tu? Kweli Obama fundi. Kwa hiyo ule mgogoro wa kidplamasia kati ya Marekani na Pakistan baada ya ile operation yalikuwa maigizo? Kwa hiyo ile kamata kamata kule Pakistan mpaka ya Daktari aliyetumika kusaidia ilikuwa maigizo?
Siasa na maigizo havijawahi kuachana
 
Hamas Wasifanye Vitu kwa Mihemko Kuna Watu hawachezewi Subili Dawa iwaingie (Slava IDF Slava US Army)
 
Niliwaambia mpo wenyewe, alla akbar wenu keshakula kona na kukimbia, hakuna wa kuwaokoa, mtaechezea kichapo kote kote, mumejaibu kuomba Mchina, Mrusi lakini hamna lolote, mataifa yote ya kiarabu yameufyata, hata kubwa la magaidi ya uislamu, Iran halina jipya limeufyata.
Mungu wa Wayahudi ni mkubwa kuzidi wenu huyo aliyekimbia mpambano.
Aiseeee kwahiyo ala Kala mbio?
 
Back
Top Bottom