Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa?

Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho?

Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo?

Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa kwa sheria gani na yasipotekelezwa na upande mmoja yatakuwa na athari gani?

Je, ipo sheria yakuzuia shughuli za kisiasa kusubiri IGP akae kikao na vyama vya siasa?
Msajili anaendeleza uvunjifu wa katiba ya nchi.
 
Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa?

Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho?

Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo?

Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa kwa sheria gani na yasipotekelezwa na upande mmoja yatakuwa na athari gani?

Je, ipo sheria yakuzuia shughuli za kisiasa kusubiri IGP akae kikao na vyama vya siasa?
Eti mama anaenda

Eti mama anaenda marekani kuzindua royal tour. Sasa Ili asibanwe na maswali ya ukandamizaji wa demokrasia ndo anajaribu kumtuma mutungi na siro Ili ionekane demokrasia imerejea,

Pia ni ku buy time akiwa kea mabeberu kusionekane kuna ghasia za kisiasa zinaendelea

Ili akirudi mambo yaendelee kama zamani

Hi ndo akili za think tanks wa ccm
 
Kuna wakati unafika, suala la makubaliano kama nchi ni la muhimu kuliko uweledi wa kuongozwa kama nchi. Nnaloliona kinachotafutwa ni utengamano wa kisiasa ndio kinachotafutwa.
Utangamano pasipo na haki ?

Mtu anakuonea halafu anakuita anakwambia njoo tukae tuzungumze niache kukuonea.
 
Eti mama anaenda

Eti mama anaenda marekani kuzindua royal tour. Sasa Ili asibanwe na maswali ya ukandamizaji wa demokrasia ndo anajaribu kumtuma mutungi na siro Ili ionekane demokrasia imerejea,

Pia ni ku buy time akiwa kea mabeberu kusionekane kuna ghasia za kisiasa zinaendelea

Ili akirudi mambo yaendelee kama zamani

Hi ndo akili za think tanks wa ccm
Hajui hata anafanya nini hapa duniani
 
Tatizo ni kuwa mahakama nazo haziaminiki.

Ziko upande wa ccm/watawala, na zinatumika wazi wazi kukandamiza haki za watawaliwa
Sio tu haziaminiki but zinadharauliwa na hao polisi pia. Mahakama inaweza kuamua na polisi wakazuia. Sababu tayari walishaacha mbwa ameingia hadi altareni
 
Kwa upande wangu nakiona ni kikao muhimu sn sababu watakaoendelea kuumia ni vyama vya upinzani, Sirro ana mabomu, risasi, mahabusu na mahakama ndiyo kinachompa kiburi, vita yoyote ile humalizwa kwa mazungumzo.
Nchi inaongozwa na SHERIA ambazo tayari zipo. Sio VIKAO kama hivyo
 
Kinachofuata kwenye hicho kikao ni vyama vya upinzani kupewa terms na jeshi la polisi kinyume cha sheria.

Inamaana nchi sasa hivi inaendeshwa kwa utashi binafsi wa IGP na Mutungi badala ya sheria ?
Nchi inaendeshwa na Mwigulu akisaidiwa na Mpango
 
Ni lini Msajili wa vyama alikaa na IGP wakapanga kuwepo kwa kikao Cha IGP na vyama vya siasa?

Nani aliyeandaa agenda za kikao hicho?

Ni vyama vipi vilifika kwa msajili kuomba kuwepo kikao Kati ya IGP na vyama hivyo?

Hiki kikao kipo chini ya sheria gani? Maamuzi ya kikao hicho yatatekelezwa kwa sheria gani na yasipotekelezwa na upande mmoja yatakuwa na athari gani?

Je, ipo sheria yakuzuia shughuli za kisiasa kusubiri IGP akae kikao na vyama vya siasa?
HAKUNA SABABU ZA KUKAA KIKAO MIKUTANO YA VYAMA IPO KISHERIA NA KIKATIBA KILA MTU AHESHIMU KATIBA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mahali pa kuanzia ni Rais Samia (sio kama Mwenyekiti wa CCM)kukutana na vyama vya siasa awasikilize na asiwaogope wala kuwapa masharti ya kukutana nae. Itamsaidia ndani na nje ya nchi. Sababu yake ni kwamba Chadema na ACT pekee vina wapenzi na washabiki ambao huwezi kuwapuuza na katika maeneo kama Zbar, Dar, Arusha, Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Mara, Tanga, Kagera, Mwanza, Manyara, Kigoma, Mtwara, Lindi, ..kwa uchache ukiitisha uchaguzi wowote ulio HURU, lolote litatokea. Huwezi puuza wingi wao. Kina Sirro, Mutungi, Mahera nk nk wanajua tunachosema kwa hiyo wao kuitisha vikao wala haina impact yoyote politically.
 
Tatizo ni kuwa mahakama nazo haziaminiki.

Ziko upande wa ccm/watawala, na zinatumika wazi wazi kukandamiza haki za watawaliwa
Basi, hali ya nchi yoyote inapofikia hatua ya namna hiyo, ya wananchi kukosa sehemu yoyote ya kutafuta haki zao, hapo ndipo panapopelekea mambo yanayotokea kwenye nchi nyingine kama Guinea kuwa jambo la kusubiriwa kwa hamu.

Na linapotokea, unaona wananchi wakishangilia mitaani.
 
Back
Top Bottom